Tuesday 23 June 2015

FAHAMU SIRI ZITAKAZOKUFANYA UWE NA FURAHA CHUMBANI UKIWA NA MWENZI WAKO.

Tendo la ndoa linaloridhisha na kusisimua ni pale ambapo mume au mke hufanya kile anafahamu kinatakiwa kufanyika kabla ya sex, wakati wa sex na baada ya sex.
Hii ina maana kwamba kila mmoja huweza kumtimizia mwenzake mahitaji ya kimapenzi kwa uhakika na kwa kadri anavyoweza.
Pia kuna makubaliano ni vizuri kufanyika ili kila mmoja aridhike kwani mke na mume hutofautiana na pia kila mtu ana ufahamu tofauti kuhusu nini kiwemo katika harakati za kuridhishana kimapenzi.

Kuna vitabu vingi kuhusu namna ya kuimarisha tendo la ndoa katika ndoa hata hivyo kuna mambo ya msingi ambayo ni muhimu sana kwa kila mwanandoa kufahamu.


Zifuatazo ni moja ya siri muhimu sana ambazo ukizifahamu unaweza kuwa na wakati mzuri na mke wako au mume wako huko chumbani kwenu wakati wa kuwa mwili mmoja.


1:- Tendo la ndoa lazima ni liwe na msisitizo katika kupendana kwa mke na mume kwa maneno na matendo.
Kupeana maneno matamu na kushikana shikana (touching, kissing, cuddling, hugging)
Maandalizi ni muhimu kuliko tendo lenyewe.


2:- Kumbuka kwamba mwanaume mara nyingi hufurahia mke ambaye anafahamu namna ya kumpa furaha na msisimko mume wake katika kuhudumia uume wake.
Hivyo mke hana budi kuhudumia hicho kiungo kwa kila aina ya skills anazofahamu na kujifunza skills mpya bila kujali ana umri gani au miaka mingapi na kuhakikisha mume wake anafurahia hiyo huduma.


3:- Baada ya kugusana kwa ngozi kunakoridhisha, wanawake wengi hupenda kusisimuliwa kisimi (clitoris, joy button) ili aweze kusisimka na kuwa “wet” na mume aweze kuingia kirahisi huko na hatimaye kufika kileleni haraka.
Ni muhimu sana kwa wanandoa kujadili kwa maneno au ishara za matendo namna gani kisimi kisisimuliwe na mke ajisikie raha.


4:- Kumbuka tendo la ndoa si mashindano au mtihani kwa maana kwamba ni ya kuhesabu muda au kupima muda na kuhesabu yale yanafanyika au kitu chochote, ni muda wa kujali, kuwa huru kuonesha upendo wa ndani kwa matendo (ndiyo maana wanaita kufanya mapenzi, ni kuupa upendo matendo, ni wakati wa kupenda na muda wa kufurahia.


5:- Pia ni vizuri kufahamu kwamba love and sex ni kitu kimoja.
Kusisimka kunakoleta raha ni pale ambapo wanandoa wanakuwa na siku njema; yaani bila kugombana wala kukosa mawasiliano mazuri tangu asubuhi wanapoamka hadi jioni wanapokutana na kama kuna hitilafu ni kuzimaliza kabla ya kukaribiana tena.

Ingawa kuna wanandoa asilimia kati ya 25 – 35 humalizana au hupatana kwa kupeana sex ingawa tendo la ndoa huongeza upendo na kuondoa mvutano kati ya mke na mume.
Kama tendo la ndoa litafanywa kwa unyororo na msisimko, katika mazingira yanayoleta raha, na kila mmoja akiwa huru bila hatia au donge moyoni na bila kuwa na wasiwasi wa kupata mimba; basi tendo la ndoa huweza kuwa ni wakati wa furaha kuliko kitu chochote duniani, ni tukio la ajabu, huweza kuleta kumbukumbu za kudumu na njia bora ya kuwaunganisha binadamu wawili.
Ingawa hii ni kweli, bado kuna baadhi ya wanandoa pamoja na kupendana sana na kila mmoja kumfurahia mwenzake bado hujikuta hawana hamu ya kufanya mapenzi au maisha ya sex yanakuwa bado ni tuta au hukosa hamu.

Kama sex ikifanywa kwa haraka haraka na rafu, au kama mmoja anadanganywa na ameumizwa au kama mmoja ana hofu ya kupata mimba basi sex inaweza kuwa ni kitu ovyo sana (horrible experience).
Pia sex huweza kuwa si chochote kama mmoja ya wanandoa anategemea mambo makubwa sana kutoka kwa mwenzake
Pia ifahamike kwamba sex na mtu mmoja huweza baada ya muda mrefu hupelekea kupoteza hamu au niseme excitement wanayopata wanandoa katika mwaka wa kwanza si sawa na ile ya mwaka wa pili na wa tatu na hii lazima ikubalike na kutegemewa katika ndoa yoyote na pia hii si dalili kwamba upendo umeisha au kwamba ndoa ina matatizo au mmoja anatoka nje au atoki nje, bali ni wakati mzuri wa kujipanga upya na kutengeneza stage mpya ya kupata msisimko mpya na si kuanza kuchezesha macho nje bali kwa pamoja kushirikiana kujipanga upya na kusababisha “falling in love” upya.

No comments:

Post a Comment