Tuesday 9 February 2016

MAHABA YA ASUBUHI.

Kama wewe upo kwenye ndoa basi utafiti unaonesha kwamba kufanya sex asubuhi hukuweka kwenye afya njema zaidi.

watafiti wanasema kwamba sex mara tatu asubuhi kwa wiki hupunguza uwezekano wa kupata heart attack, au stroke kwa nusu nzima na kufanya mapenzi mara kwa mara asubuhi huimarisha mzunguko wa damu na kupunguza blood pressure.

Kufanya mapenzi asubuhi husaidia kupunguza kupata kisukari kwani kwa kitendo hicho unaweza kuchoma idadi ya calories 300.

Pia sex asubuhi huweza kupunguza arthritis (maumivu kwenye viungo kama magoti nk) pia husaidia kuzalisha homoni za testosterone ambazo husaidia mifupa na mishipa kuwa imara.
Pia mahaba ya asubuhi pia husaidia nywele kung’aa na kunawiri vizuri pamoja na ngozi kwa kusaidia uzalisha kiwango kikubwa cha oestrogen na homoni zingine zinazofanana na hiyo.

Pia utafiti ulionesha kwamba wanawake ambao waume zao hawakutumia condom walikuwa ngangari linapokuja suala la stress na depression ukilinganisha na wale ambao waliuwa wanatumia condom wakati wa sex.

Pia watafiti wana onya kwamba mahaba ya asubuhi yasiwe yale ya kuchosha kwani yanaweza kusababisha kuwa na immune system dhaifu.

posted from Bloggeroid

No comments:

Post a Comment