Tuesday 16 February 2016

KUMWANDAA MWANAMKE KUWA MWILI MMOJA.

Kumwandaa mwanamke kuwa mwili mmoja huanza kwa maneno, ongea kile ambacho kitamfanya damu yake kuwa hot.
Pia matendo huweza kufanya kitu cha maana zaidi kuliko maneno, wakati unampa maneno mguse kwa kupalaza kwenye mwili wake wanawake husisimka kwa kuguswa wakati wanaume kwa kuona; tembeza mkono kama mawimbi unapoongea au kutoa zile hadithi zako za kumtengeneza mood, huku ukiwa karibu kiasi cha nywele zake kugusa uso wako.

Wakati wa maongezi mguse kwa wororo anza kuingilia himaya yake (siyo sehemu za siri – private parts) bali private space.
Unaweza kugusa mkono wake au kuondoa kitu chochote kwenye nywele zake au uso wake (hata kama hakipo we si unajua unafanya kitu gani) au unaweza kushika mikono yake (au vidole ) na kufanya massage kiaina kwa kutumia vidole vyako.

Anza kumsifia jinsi alivyo ukianza na nguo au kitu chochote amevaa (hapo ndipo ugonjwa wa wanawake wengi ulipo) sifia sura yake na vile alivyo kama vile nywele, kucha, lips na vingine unavyovijua wewe, sifia kwa uhakika na kiukweli anyway ni kweli ur wife is so beautiful ndo maana upo naye hapo.

Jihusishe naye zaidi kwa kumgusa katika njia ambayo si ya kuashiria unataka sex pia kwa hatua kama hii usithubutu kumbusu yeye bali yeye ndo atakuomba umbusu.

Maongezi yako yanatakiwa sasa kuwa ya kimahaba zaidi, tumia sexy words, mwambie unavyojisikia kihisia,ongea kwa ulaini ili akuelewe kirahisi, unapoongea mnong’oneze kwenye makisio yake kama vile unamwambia siri hata kama mpo chumbani wawili tu.
Wakati unamnong’oneza sogeza zaidi lips za mdomo wako kwenye masikio yake na kugusisha na kumpa kabusu ka kiaina halafu achia ili kumruhusu yeye kujiachia kwako zaidi na kukung’ang’ania zaidi.
Ukiona anakuegemea zaidi ongeza kabusu kengine kwenye sikio huku ukimwambia maneno matamu na yanayovutia ya kimahaba.
Ukiona joto lake linazidi sasa usifanye kosa anza kusambaza mikono yako na kumgusa kila eneo la mwili wake lakini usiguse matiti, au chini (sehemu za siri) bali tumbo, mgongo, shingo, mikono, miguu, kidevu nywele nk.

Anza kusambaza busu lako kuanzia kwenye lile sikio, shingo, kinywa huku yeye akiendelea kukuinamia na wewe unaendelea kumpoa soft kisses baada ya hapo naamini moto maji yataanza kuchemka kiasi kwamba kupoa itakuwa kazi nzito na ukiona hakuna kitu anza square one.

posted from Bloggeroid

No comments:

Post a Comment