Monday, 22 June 2015

FANYA HAYA ILI AFURAHUE TENDO LA NDOA..

MWANAMKE

Ili mwanamke afurahi tendo la ndoa:
Ni muhimu ajisikia anapendwa na mume wake, ajione yeye ni kitu cha thamani na kusifiwa na mume wake.
Ni pale anapojiona anasikilizwa na kuwa respected.
Pale kukiwa na mazingira ambayo ni romantic (ndiyo maana sex on spot au bila kuandaana na kupeana muda wa kuwa connected kimapenzi huwezekana kwenye movies na si kwenye real life) mke anahitaji kusaidiwa kazi ndogondogo kama kupika, kuosha dishes, kusafisha nyumba, watoto nk ndipo awe tayari kwa kumfanya Mr.. aendeleze smile lake. Mke hupenda na hujiamini pale anapojiona ni msafi hasa kabla ya kuguswa sehemu yoyote katika mwili wake, kwake hygiene ni jambo la msingi sana ingawa wanaume wengi hujisahau as if hadi wafanyiwe sniff test.
Mwanamke ili afurahie tendo la ndoa anahitaji privacy.
Anahitaji kuhakikishiwa kwamba mlango umefungwa pia hakuna mtu anaewasikiliza au kusikia heka heka za mahaba (ndiyo maana si rahisi sana mwanamke kukubali tendo la ndoa akiwa nyumbani kwa wakwe.
Mwanamke anahitaji kujiona mume anamuelewa na zaidi anapata kisses, hugs, touch, na cuddling mara kwa mara.


MWANAUME:

Mwanaume ili afurahi tendo la ndoa;
Ni pale anapojisikia kwamba mke wake anamuhitaji, hiyo ni siri kubwa ambayo mwanaume hujiona anasisimka kimapenzi.
Pia mwanaume ili afurahie sex anahitaji sehemu au mahali ambapo anaweza kuhudumiwa na kwa mwanaume sehemu yoyote, eneo lolote hana tatizo kwake sex inawezekana.
Hii ina maana kama kuna mahali binadamu anaweza kwenda au kufika basi mwanaume kwake sex inawezekana.


No comments:

Post a Comment