Tuesday, 23 June 2015

FAHAMU UMUHIMU WA KUANDAANA KABLA YA SEX.

Haina haja kuchezea kipande tu cha uwanja wakati mnaruhusiwa kuchezea kiwanja chote na kuonesha skills zote kwa pasi za mbali na karibu. Kisaikolojia wanaume wengi (si wote) ni genital aroused (wakiwa kwenye sita kwa sita huwaza sana south pole na kupeleka mkono haraka kama kupokea pesa bank), hata akiwa na Mwanamke anaweza kusisimua matiti na uke tu kisha akaendelea kuchimbua dhahabu yake na kwa namna na style zote anazojua.

Wanawake wao ni “Generally aroused” kwa maana kwamba kwao maandalizi ni mwili mzima na mwili mzima kwake ni “kiungo kimoja muhimu” hivyo wana uwanja mkubwa sana wa mwanaume kuchezea kabla ya kwenda bondeni kuchimbua dhahabu, habari njema ni kwamba wanawake wanajua kwamba wanahitaji mwanaume mwenye mikono slow kuchezea uwanja mzima kabla ya sehemu kuu.

Kwa Mwanamke sehemu muhimu si matiti na katikati ya miguu bali ni mwili mzima, huwa Inaumiza sana wakati mwingine Mwanamke anakuta mwanaume hata kukisi tu anasahau na moja kwa moja anakimbilia kwenye kisimi. kwa kuwa anajua ni sehemu ya kusisimua, ni vizuri lakini unahitaji kuuandaa mwili mzima kwanza hadi mind yake ifunguke na kuwa tayari kwa shughuli ndipo ukimbilie kwenye kisimi kisha hatua nyingine za mapenzi ziendelee.

Wengi katika kujifunza masuala ya mapenzi (hasa wanaume) na hasa suala la kufanya maandalizi (foreplay) anajua kitu cha msingi ni kwenda moja kwa moja kubusu, kuchezea matiti kidogo kisha anakimbilia bondeni na kuanza kupima kuona kama kuna unyevu wa kutosha ili mtambo uanze kuchimbua dhahabu huku anasahau kwamba lazima mwili mzima wa mwanamke lazima uhusike kupata matokeo mazuri ya dhahabu unayotaka kuchimbua, sex ni mwili, mood, ubongo na lazima vyote vijue kwamba kuna mitambo ya kuchimba dhahabu imefika.

Mwanaume kukimbilia bondeni haraka hupelekea sex kuwa na utaratibu unao bore ambao mwisho husababisha Mwanamke kuepuka sex kwani anajiona unamtumia kutimiza raha zako bila kumpa yeye raha.
Kumpa mguso kwa kumhudumia mwili mzima ambao kwa mwanamke ni kiungo kimoja cha mapenzi.

Fikiria mwanaume umechelewa kurudi na unakuta mkeo kalala fofofo, kwa kuwa unahamu na kuwa mwili mmoja bila kusema chochote wala kujua mwenzio ameshindaje wewe moja kwa moja na mkono wako haraka unakimbilia kuanza kusugua kisimi..chake, huo si ustaarabu kabisa, ni kukosa maadili ya ndoa, na unahitaji kufahamu kwamba kila kitu kina utaratibu wake huwezi kuweka unga kwenye maji kabla hayajachemka ukitegemea ugali utaiva na kuwa mtamu shauri yako utaishia kujaza unga hadi kiwe kitu kingine na si ugali tena.

Pia kuna wanawake ambao maumbo yao huwa na kasoro kama unene sana, au kifua Kuwa flat kama mwanaume au matiti kuwa makubwa mno, huwa hawajisikii vizuri au kutojiamini na huwa na mtazamo negative so akiona wewe ume concentrate hapo anaanza kujisikia vibaya na husababisha kutojiamini kisha kutosisimka.
Ni vizuri kujifunza strength na weakness za maeneo ya mke au mume wako ili kutosababisha kuharibu mambo pia ni muhimu mtu kujiamini kwamba wewe ni mzuri na kama ulivyo unaweza kuwa mtaalamu na kurishika na kumridhisha mwenzako.
Ni wewe so unaogopa nini na mume au mke ni wako.
Wapo wanandoa ambao ni waoga na hawajiamini kiasi cha kushindwa kabisa kuwa uchi mbele ya mwenzake. Ni aibu na kupitwa na wakati.

Pia utafiti unaonesha kwamba wanaume wengi waliooa ni wagumu sana lipokuja suala la kubusiana na wake zao wakati wa maandalizi ya tendo la ndoa, wengi walikuwa wazuri sana kubusu wakati ndoa zilikuwa mpya na miaka inavyoenda basi wanazidi kupunguza skills na muda wa kubusu ingawa wanaonekana kwa sex ndo wenyewe skills zimeongezeka.

No comments:

Post a Comment