Wanawake ni mfano wa mwezi katika mwitikio na uzoefu wa tendo la ndoa.
Wakati mwingine bila kujali ana mwenzi anayejua mapenzi (mwanaume) kiasi gani, anaandaliwa (foreplay) na kuwa hot kiasi gani au kuwa wet south pole kiasi gani, bado anaweza asifike kileleni wakati wa tendo la ndoa.
Si kwamba tu hawezi kufika kileleni, bali pia ahitaji kufika kileleni.
Katika siku 28 za mzunguko wa siku za mwanamke, kuna siku akiwa
AMEIVA NA KUWA TAYARI
basi hupenda na kutaka afike kileleni.
Na siku zingine katika mzunguko hupenda tu kufanya tendo la ndoa kwa ajili ya kuwa close na mume wake na wala hajali kufika kileleni au kutofika.
Wakati mwingine anakuwa katika mzunguko ambao ni full moon, wakati mwingine ni half moon na wakati mwingine ni new moon katika stages zote hizo utendaji huwa tofauti ingawa anaweza kuwa na hamu ya sex na mumewe ingawa si lazima kufika kileleni na anajisikia raha na furaha kuwa hivyo.
Kwa upande mwingine, wanaume mwitikio wao kwenye sex ni mfano wa jua kwa maana kwamba kila asubuhi huchomoza na smile la nguvu.
Hakuna nusu jua wala robo jua wala jua jipya kila siku ni jua lilelile na akisisimuliwa tu kimapenzi kileleni atafika tu.
Mwanaume akisisimuliwa, mwili wake automatically hutamani kufika kileleni na hawezi Kukosa hata kimoja.
Na hapa ndipo mwanaume huwa kwenye giza nene kutojua kwa nini mamsapu wake wala hajali kufika kileleni, na anaweza kufika mbali kwa kudhani kwamba kuna mushkeli.
Tatizo kubwa ni kwamba wanaume hupima uwezo na mafanikio ya tendo la ndoa kwa mwanamke kufika kileleni.
Kumlazimisha mwanamke kufika kileleni kila kukiwa na tendo la ndoa huweza kusababisha mwanamke kujisikia haridhiki kwani inabidi wakati mwingine adanganye amefika kumbe wala na yeye alitaka sex just to feel close.
Tendo la ndoa tamu ni lile ambalo huacha hisia na kumbukumbu bila kusahaulika na wakati mwingine hufanywa kwa hiari bila kulazimisha mwanamke kufika kileleni, pia kuruhusu kila partner kupata kile anataka kwa mume kufika kileleni na mwanamke kama hana au ana mood kuweza kufika kileleni na zaidi apate physical affection.

No comments:
Post a Comment