Friday, 23 January 2015

NAMNA YA KUJUA KAMA UMEMRIDHISHA MWENZI WAKO.

Leo nitawaelezea kidogo namna ya kujua kama umemkuna ipasavyo mwanamke wakati wa tendo la ndoa.

1.Kufinya shuka kwa nguvu au kitanda kwa nguvu wakati unampa mambo
ni ishara mojawapo ya
kuonyesha kwamba inamkuna vizuri.

2.Kukukumbatia kwa nguvu au kukufinya:
Hii pia ni moja kati ya ishara nyingi anazoonyesha
mwanamke pindi anapo
- vizuri.

3.Kutokwa na jasho ndani ya
sekunde chache:
Ukiona anatokwa na jasho ndani ya sekunde chache na katika hali isiyo ya kawaida basi jua kua utendaji wako ni mzuri na
unamridhisha.
Acha niishie hapo kwa leo, lakini sina maana kwamba kama mwanamke wako haonyeshi moja kati ya ishara hizo au zote
basi ndio inamaanisha
haumridhishi, hapana. Hizi ni baadhi tu, zipo nyingi tu.

No comments:

Post a Comment