Wednesday, 24 June 2015

MUHIMU KWA WANAWAKE TU..

Uume wa mwanaume
Mara zote upo tayari, Mr.huyo huwa hafuati ratiba, ukweli Mr.Uume" hajui hata ratiba ni kitu gani na hufanywa vipi pia Mr. Uume" ana kumbukumbu ndogo sana.

MFANO:
Wewe na mume wako mlikuwa na wakati mzuri sana usiku wa jana (love making) na kila mmoja aliridhika na kujiona ametosheka. Asubuhi wewe mwanamke unaamka mapema na kuamua kufanya usafi chumbani huku mumeo bado amelala. Unaamua kuvaa tu T-shirt bila bra ndani na katika inama matiti yanaonekana kuchezacheza ndani ya T-shirt uliyovaa kiasi cha kumvutia mumeo ambaye anaamua kuamka na kuja kukupa hug kwa nyuma na unagundua bila shaka kwamba Mr. Uume wake ameshaanza kutroti na haoneshi dalili kwamba amelala.
Unajiuliza
“Tulifanya sex jana usiku tu, sijaoga bado, nimevaa ovyo, hivi mume wangu ana tatizo gani kunitaka tena asubuhi hii yote wakati anafahamu ninafanya kazi?”
Ukiongea na wanandoa ambao huridhishana watakwambia kuna kitu kinaitwa ‘ chapuchapu, kimoja cha haraka nk”
Kwa kuwa mwanaume huvutiwa na kile anaona, ile kumuona mke wake na headlights, au katika chupi yake au akitoka kuoga na khanga yake kwa tukio kama hilo mume anaweza asijali atachelewa kanisani au kazini au mkutanoni kwani anakuwa ameshaigusa trigger na kwake kinachofuata ni kutoa risasi.
Wapo wanawake ambao wameamua kuwapa waume zao sex wiki mfululizo wakiamini kwamba itasaidia kuwafanya waume zao kupunguza uhitaji wa sex hata hivyo wiki inayofuata mume anakuwa na hamu ya juu kuliko wiki iliyopita.
Hawajajua Mr.Uume yeye hana tatizo kwani huwa hatunzi kumbukumbu za nini kilitokea jana au wiki iliyopita anachojua yeye ni sasa na anatunza smile lake kila iitwapo leo.
Mwanaume ni mwanaume na atabaki mwanaume na moja ya sifa ya mume ndani ya ndoa ni ule uhitaji wa sex kwa namna ya tofauti.
Kama ulihitaji mtu ambaye atafanya mambo kama unavyohitaji wewe kimapenzi basi ulitakiwa kubaki single, lakini umeoana na mwanaume ambaye ana mahitaji tofauti na wewe na moja ya mahitaji muhimu kwake ni sex.
Pia ieleweke kwamba kuna siku mume anaweza kuamka akiwa na full erections, anaweza kuku-approach na wewe ukakataa, hata hivyo kukataa kwako hakuwezi kupunguza hamu yake ya kukuhitaji wewe kimwili.
Kuna wakati hitaji la sex kwa mwanaume huwa mfano wa kitu cha urgent, anahitaji sexual release, kama ni bunduki yake basi huwa inakuwa ipo loaded na risasi ya mwisho imeshawekwa kwenye chamber, na jicho limeshawekwa kwenye target huku trigger imeshavutwa nyuma ili iweze kuruhusiwa hivyo kukataliwa kwake huwa ni kitu frustrating na hujiona ni loser.

Nikupe Tips za kukuhakikishia wewe mwanamke unakuwa na moto wa mapenzi chumbani.


1:- Panga kabajeti kadogo baada ya muda fulani kwa ajili ya kununua kivazi (lingerie) ambacho unaamini ukivaa kinaweza kumvutia mumeo chumbani


2:- Angalau kwa mwaka mara moja nenda kwenye social event yoyote na mumeo huku hujavaa chupi, usimwambie mumeo hadi muwe mmeshaondoka nyumbani na mnong’oneze sikioni na mwambie “honey unajua leo sijavaa chupi” utamfanya akuwaze siku nzima huku wewe mwenyewe ukisisimka mara kwa mara ukikumbuka chini ni empty!


3'- Baada ya siku kadhaa “have fun” na mumeo chumbani unaweza kuwa naked kwa muda unaotaka wewe kwa ajili ya kufurahia reaction yake inakuwaje.


4:- Tafuta aina mpya ya perfume ambayo siku ukijiweka basi ni siku ambayo unakuwa na mahaba ya uhakika na mumeo hivyo basi kila mara ukitaka maana yake unahitaji mahaba pia.


5:- Jaribu kitu kipya kimoja baada ya muda fulani kwa ajili ya kumsisimua mume wako.


6:- Fanya mazoezi ya misuli ya PC

JE,UKE WAKO UMELEGEA?..

Wapo wanawake akishazaa watoto wawili au watatu uke wake hulegea na kupelekea kutofurahia tendo la ndoa.
Hasa kama hakuwa mtu wa mazoezi tatizo linaweza kuwa kubwa, hata hivyo kufanya mazoezi ya Kegel ndiyo jibu kamili ya kurudisha uke kwenye mstari na kuanza kufurahia tendo la ndoa.
Mara nyingi wanawake huwacheka sana wanaume ambao visamaki vyao ni vidogo sana kwa kuwatania kwamba hata ukikohoa tu wakati wapo sita kwa sita kanachomoka, wakati huohuo wanaume nao huwacheka wanawake ambao huko chini kwenye machimbo ya dhahabu kuna pwaya mno kiasi kwamba mwanaume akiingiza mpini hasikii kitu chochote yaani hakuna ule mgusano au msuguano unaoleta raha ya tendo la ndoa.

Pia kuna wanawake uke umejaa maji kwelikweli hata uume ukiwa ndani ni kuteleza tu bila msuguano wowote wala kubana kokote matokeo yake hakuna ladha na utamu wa tendo lenyewe.

Dawa ipo tena bure na ipo ndani ya uwezo wako, kitu cha msingi ni kukubali mabadiliko na kuwa na hamu ya kutaka kubadilika.
Kuwe na uke tight unaokupa raha wewe na mume wako na zaidi afya yako ya uzazi kuwa imara.
Hata kwa wanaume zoezi hili ni simple wala halina gharama.

Ni kawaida wanaume wengi kuogopa kwenda kwa daktari kuongea masuala ya afya ya uzazi, hapa huhitaji kwenda kwa daktari, ni wewe mwenyewe kuwa serious kwani ukifanya vizuri utakuwa na uwezo wa kusimamisha mti wako kwa muda mrefu na pia unaweza kuhimili kubana kutofika kileleni mapema kabla ya mwandani wako.

Wanawake wengi baada ya kuzaa zaidi ya mara moja na kama hawakuwa watu wa mazoezi misuli ya uke hulegea na kupelekea kupoteza mnato na u-tight wa uke na pia kutojiamini wakati wa kufanya mapenzi kutokana na kupwaya kwa uke.
Kitaalamu hili zoezi huweza kurudisha hiyo hali ya kuwa tight baada ya miezi miwili kwa kufanya kila siku mfululizo na kwa kujitoa na kuwa serious.

JE,ZOEZI ILI NI GUMU?

Si gumu
Ni rahisi sana
Ni salama
Siyo zito na halichoshi
Linaweza kukupa matokeo baada ya wiki nane

Je, unaanzaje au nitajuaje huu ndo msuli wenyewe?

Kwanza ili kufanya hili zoezi anza kwa kutambua misuli ya uke au uume inayohusika kwa kuzuia mkojo unapotoka, kisha kojoa kwa kukata huku ukikaza misuli kwa kutoa mkojo kwa kuhesabu sekunde 4 hadi 10 au namba 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10 kisha unakojoa tena ujazo wa kijiko cha chai then unaanza upya kwa kukata na kuhesabu 1 – 10 kila unapoenda kukojoa muda wowote.

Hii inasaidia kutambua msuli unaohusika na kukaza uke au uume.
Msuli uliotumia kuzuia mkojo ni rahisi kuuhisi ndo huo unahusika.
Hii misuli husaidia kukaza matundu matatu huko chini kwa mwanamke ambayo ni uke, tundu la mkojo na tundu la kutolea haja kubwa.

Ukishapatia kujua msuli upi unamtumia kuzuia mkojo, basi unaweza kuendelea na zoezi hata kama hukojoi au kutoa haja kubwa kwa kuendelea kukaza kama vile unakojoa au unatoa haja kubwa ingawa siyo.
Unaweza kurudia zoezi muda wowote hata kama hukojoi mahali popote, kwenye kiti ofisini, kwenye daladala nk.
Wakati unafanya Hakikisha kuna tofauti ya sekunde tatu hadi kumi.
Pia unaweza kuongeza kukaza hiyo misuli kila ukikojoa fanya zaidi ya 20 kwa siku
Fanya kwa wiki nane mfululizo.
Kumbuka!
Kama wewe ni mwanamke ambaye chini kunapwaya au mume wake amekuwa analalamika kwamba hapati ladha na utamu halisi basi hili zoezi la kubana misuli litakuwezesha kubana uume au kuuvuta kwa ndani, au kwa kuukamua hatimaye anapata raha kwa msuguano unaokuwepo na wewe kufika kileleni haraka.
Ukitaka kujua uke wako unakubali zoezi jaribu kuingiza kidole wakati unafanya hili zoezi then utahisi kidole kubana zaidi kuliko kawaida.

NI MUHIMU KWA WANANDOA KUJUA HAYA.

Ndoa ni muunganiko (alliance) ambao binadamu hukutana nao na ni muungano muhimu na tofauti kuliko muungano wowote duniani.
Ni muungano muhimu kimwili, kiroho, kiakili na kifedha na hata kisaikolojia.
Mwanaume ambaye amechagua mke kwa busara atahakikisha huyo mke anakuwa mtu wa muhimu sana katika maisha yake na familia yake katika kuunda uwezo pamoja na kufanya mambo na kutekeleza mikakati ya maisha.

Kutokuelewana kwa mume na mke katika ndoa ni kitu kibaya sana bila kujali ni kwa sababu gani; kwani huweza kuharibu kabisa nafasi ya mwanaume yeyote kufanikiwa katika maisha hata kama huyo mwanaume ana sifa zote za kuwa na mafanikio.

Mke anayo influence kubwa kwa mume wake kuliko mwanamke yeyote au mtu yeyote duniani ndiyo maana wanasema “Kila palipo na mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake yupo mwanamke (mke wake)”.
Mume wako (kama wewe ni mwanamke) aliamua kukuchagua wewe na kukuoa kwa sababu alikupenda kuliko wanawake wote duniani bila kujali rangi, kabila au utamaduni hii ina maana wewe ndiye mwanamke anayekupenda kuliko wanawake wote duniani labda iwe mlioana kwa ndoa za kulazimishana au kupanga.

Pia kumbuka kwamba upendo ni moja ya vitu vinavyoweza kumsukuma (motivate) mwanaume kujitolea kufanya kitu chochote au kujitolea kufanya chochote, au kwenda mahali popote ili mradi tu mke ametoa penzi la kweli kwa mume wake.

Pia ikumbukwe kwamba tabia za wivu kupindukia, kuona makosa tu au kuendekeza tofauti hakuimarishi mahusiano au ndoa bali huua.
Mwanamke mwenye busara na hekima kutafuta muda au kupanga muda maalumu wa kuongea na mume wake ili kuwa na wakati wa kujadili mustakhabali wa familia (mutual interests) na inaweza kuwa ni wakati wa chakula cha asubuhi (breakfast au chakula cha jioni (supper).

Muda wa chakula hasa cha usiku (supper) ni muda maalumu kwa familia, kukaa pamoja na kuabudu, kufurahia, kuongea na kujadili mambo mazuri ya familia, kucheka na kudumisha umoja wa familia na si kuonyana au kusemana au kunyosheana vidole au kuweka matatizo mezani au kuonya watoto.

Inaeleweka kwamba “Man’s stomach is the way to his heart” hivyo basi muda wa chakula (ambacho kimeandaliwa vizuri) ni excellent opportunity kwa mke kuweza kufikia moyo wa mume wake kwa wazo lolote analohitaji kulipanda (kama mbegu) kwa moyo wa mumewe, hata hivyo lugha inayotumika iwe ya upendo, hekima na busara bila kujali huyo mume ni cha pombe au la.

Pia jambo la msingi na muhimu ni kwamba mke anahitaji kuwa na interest za kazi ya mume wake kwa kumsaidia kimawazo na kivitendo. Ni muhimu kuepuka namna wanawake wengine husema na kutenda kwamba “ Leta fedha nyumbani nitumie na sijali namna umezipata na sina shida ya kujua umezipataje” huo ni ujinga na ipo siku mume hatajali kurudi nyumbani mikono mitupu hata kama amezalisha mamilioni.

Upendo katika ndoa hudumu tu pale mume na mke wanapoishi huku wakiwa na kusudi moja la kuiendesha familia yao.
Na mwanamke anayejua haya atakuwa na influence kubwa kwa mume wake katika maisha yao yote.
Kumbuka mke asiyefanya haya asishangae mume anaanza kutazama nje ili kupata model mpya ya gari la kuliendesha na wewe mwanamke kuwa spare tyre.

Tuesday, 23 June 2015

MAWASILIANO KATIKA TENDO LA NDOA.

1:-Uwe mkweli, muwazi, unayeongea moja kwa moja bila kuzunguka, usijifanye (pretending), uwe wewe halisi, kama hufahamu mke wako au mume wako anawaza nini, anahitaji kitu gani, au anajisikiaje (inawezekana hujui) muulize, usifanye kwa kudhania.

2:- Achana na imani potofu kwamba mwanaume anafahamu yote au anatakiwa awe anafahamu kila kitu kuhusu kufanya mapenzi.
Hakuna mwanaume anayefahamu mwanamke anavyojisikia, au ni kitu gani anahitaji ili kufika kileleni, kila mwanamke ni tofauti, ni muhimu sana kuwasiliana ninyi wawili.
Usiache kujadili ili kuondoa tatizo.
Kila mmoja lazima awasirishe kwa mwenzake namna au ni kitu gani kinamfanya ajisikie vizuri wakati wa sex.

3:- Sahau imani potofu kwamba mwanaume siku zote ndiye anatakiwa kuanza, au mwanaume anawajibika kuhakikisha sex inakuwa tamu, au Kumwachia mume afanye kila analoweza kukufanya wewe mwanamke ujisikie vizuri huku wewe umelala kama gogo huna habari unasikilizia tu.
Hayo ni mawazo potofu ambayo ni ya kizamani.

Asilimia 80 ya wanandoa wanaoridhishwa kimapenzi ni pale ambapo mke na mume wote hujihusisha na kusaidiana kupeana raha ya mapenzi.


4:- Jitahidi sana kuachana na mawazo negative kuhusu mke wako au mume wako, ni muhimu sana kuwa makini kumlaumu mwenzako kutokana na matatizo yako.

Hizi negative thinking ni vitu vinavyoficha udhaifu wa mhusika mwenyewe.


5:- Hakuna kitu kinachoweza kuharibu mapenzi kama tabia ya kulaumiana.

6:- Mara nyingi ni vizuri kuonesha namna ya kufanya kitu fulani kuliko kuelezea kwa maneno.
Kama mwanaumke anachukua mkono wa mwanaume na kuupeleka kadi kwenye kisimi na kumuonesha namna ya kufanya huleta mawasiliano mazuri kuliko kubwabwaja maneno.


7:- Usitegemee maisha ya mapenzi kuwa juu siku zote.
Namna wanandoa wanashiriki tendo la ndoa hutofautiana kila baada ya muda fulani. Hakuna kitu kinaitwa perfect, ingawa ni kweli una haki ya kufurahia maisha mazuri ya sex.
Ni muhimu kuongelea “new things” na msisahau kucheka pamoja pia.

FAHAMU UMUHIMU WA KUANDAANA KABLA YA SEX.

Haina haja kuchezea kipande tu cha uwanja wakati mnaruhusiwa kuchezea kiwanja chote na kuonesha skills zote kwa pasi za mbali na karibu. Kisaikolojia wanaume wengi (si wote) ni genital aroused (wakiwa kwenye sita kwa sita huwaza sana south pole na kupeleka mkono haraka kama kupokea pesa bank), hata akiwa na Mwanamke anaweza kusisimua matiti na uke tu kisha akaendelea kuchimbua dhahabu yake na kwa namna na style zote anazojua.

Wanawake wao ni “Generally aroused” kwa maana kwamba kwao maandalizi ni mwili mzima na mwili mzima kwake ni “kiungo kimoja muhimu” hivyo wana uwanja mkubwa sana wa mwanaume kuchezea kabla ya kwenda bondeni kuchimbua dhahabu, habari njema ni kwamba wanawake wanajua kwamba wanahitaji mwanaume mwenye mikono slow kuchezea uwanja mzima kabla ya sehemu kuu.

Kwa Mwanamke sehemu muhimu si matiti na katikati ya miguu bali ni mwili mzima, huwa Inaumiza sana wakati mwingine Mwanamke anakuta mwanaume hata kukisi tu anasahau na moja kwa moja anakimbilia kwenye kisimi. kwa kuwa anajua ni sehemu ya kusisimua, ni vizuri lakini unahitaji kuuandaa mwili mzima kwanza hadi mind yake ifunguke na kuwa tayari kwa shughuli ndipo ukimbilie kwenye kisimi kisha hatua nyingine za mapenzi ziendelee.

Wengi katika kujifunza masuala ya mapenzi (hasa wanaume) na hasa suala la kufanya maandalizi (foreplay) anajua kitu cha msingi ni kwenda moja kwa moja kubusu, kuchezea matiti kidogo kisha anakimbilia bondeni na kuanza kupima kuona kama kuna unyevu wa kutosha ili mtambo uanze kuchimbua dhahabu huku anasahau kwamba lazima mwili mzima wa mwanamke lazima uhusike kupata matokeo mazuri ya dhahabu unayotaka kuchimbua, sex ni mwili, mood, ubongo na lazima vyote vijue kwamba kuna mitambo ya kuchimba dhahabu imefika.

Mwanaume kukimbilia bondeni haraka hupelekea sex kuwa na utaratibu unao bore ambao mwisho husababisha Mwanamke kuepuka sex kwani anajiona unamtumia kutimiza raha zako bila kumpa yeye raha.
Kumpa mguso kwa kumhudumia mwili mzima ambao kwa mwanamke ni kiungo kimoja cha mapenzi.

Fikiria mwanaume umechelewa kurudi na unakuta mkeo kalala fofofo, kwa kuwa unahamu na kuwa mwili mmoja bila kusema chochote wala kujua mwenzio ameshindaje wewe moja kwa moja na mkono wako haraka unakimbilia kuanza kusugua kisimi..chake, huo si ustaarabu kabisa, ni kukosa maadili ya ndoa, na unahitaji kufahamu kwamba kila kitu kina utaratibu wake huwezi kuweka unga kwenye maji kabla hayajachemka ukitegemea ugali utaiva na kuwa mtamu shauri yako utaishia kujaza unga hadi kiwe kitu kingine na si ugali tena.

Pia kuna wanawake ambao maumbo yao huwa na kasoro kama unene sana, au kifua Kuwa flat kama mwanaume au matiti kuwa makubwa mno, huwa hawajisikii vizuri au kutojiamini na huwa na mtazamo negative so akiona wewe ume concentrate hapo anaanza kujisikia vibaya na husababisha kutojiamini kisha kutosisimka.
Ni vizuri kujifunza strength na weakness za maeneo ya mke au mume wako ili kutosababisha kuharibu mambo pia ni muhimu mtu kujiamini kwamba wewe ni mzuri na kama ulivyo unaweza kuwa mtaalamu na kurishika na kumridhisha mwenzako.
Ni wewe so unaogopa nini na mume au mke ni wako.
Wapo wanandoa ambao ni waoga na hawajiamini kiasi cha kushindwa kabisa kuwa uchi mbele ya mwenzake. Ni aibu na kupitwa na wakati.

Pia utafiti unaonesha kwamba wanaume wengi waliooa ni wagumu sana lipokuja suala la kubusiana na wake zao wakati wa maandalizi ya tendo la ndoa, wengi walikuwa wazuri sana kubusu wakati ndoa zilikuwa mpya na miaka inavyoenda basi wanazidi kupunguza skills na muda wa kubusu ingawa wanaonekana kwa sex ndo wenyewe skills zimeongezeka.

FAHAMU SIRI ZITAKAZOKUFANYA UWE NA FURAHA CHUMBANI UKIWA NA MWENZI WAKO.

Tendo la ndoa linaloridhisha na kusisimua ni pale ambapo mume au mke hufanya kile anafahamu kinatakiwa kufanyika kabla ya sex, wakati wa sex na baada ya sex.
Hii ina maana kwamba kila mmoja huweza kumtimizia mwenzake mahitaji ya kimapenzi kwa uhakika na kwa kadri anavyoweza.
Pia kuna makubaliano ni vizuri kufanyika ili kila mmoja aridhike kwani mke na mume hutofautiana na pia kila mtu ana ufahamu tofauti kuhusu nini kiwemo katika harakati za kuridhishana kimapenzi.

Kuna vitabu vingi kuhusu namna ya kuimarisha tendo la ndoa katika ndoa hata hivyo kuna mambo ya msingi ambayo ni muhimu sana kwa kila mwanandoa kufahamu.


Zifuatazo ni moja ya siri muhimu sana ambazo ukizifahamu unaweza kuwa na wakati mzuri na mke wako au mume wako huko chumbani kwenu wakati wa kuwa mwili mmoja.


1:- Tendo la ndoa lazima ni liwe na msisitizo katika kupendana kwa mke na mume kwa maneno na matendo.
Kupeana maneno matamu na kushikana shikana (touching, kissing, cuddling, hugging)
Maandalizi ni muhimu kuliko tendo lenyewe.


2:- Kumbuka kwamba mwanaume mara nyingi hufurahia mke ambaye anafahamu namna ya kumpa furaha na msisimko mume wake katika kuhudumia uume wake.
Hivyo mke hana budi kuhudumia hicho kiungo kwa kila aina ya skills anazofahamu na kujifunza skills mpya bila kujali ana umri gani au miaka mingapi na kuhakikisha mume wake anafurahia hiyo huduma.


3:- Baada ya kugusana kwa ngozi kunakoridhisha, wanawake wengi hupenda kusisimuliwa kisimi (clitoris, joy button) ili aweze kusisimka na kuwa “wet” na mume aweze kuingia kirahisi huko na hatimaye kufika kileleni haraka.
Ni muhimu sana kwa wanandoa kujadili kwa maneno au ishara za matendo namna gani kisimi kisisimuliwe na mke ajisikie raha.


4:- Kumbuka tendo la ndoa si mashindano au mtihani kwa maana kwamba ni ya kuhesabu muda au kupima muda na kuhesabu yale yanafanyika au kitu chochote, ni muda wa kujali, kuwa huru kuonesha upendo wa ndani kwa matendo (ndiyo maana wanaita kufanya mapenzi, ni kuupa upendo matendo, ni wakati wa kupenda na muda wa kufurahia.


5:- Pia ni vizuri kufahamu kwamba love and sex ni kitu kimoja.
Kusisimka kunakoleta raha ni pale ambapo wanandoa wanakuwa na siku njema; yaani bila kugombana wala kukosa mawasiliano mazuri tangu asubuhi wanapoamka hadi jioni wanapokutana na kama kuna hitilafu ni kuzimaliza kabla ya kukaribiana tena.

Ingawa kuna wanandoa asilimia kati ya 25 – 35 humalizana au hupatana kwa kupeana sex ingawa tendo la ndoa huongeza upendo na kuondoa mvutano kati ya mke na mume.
Kama tendo la ndoa litafanywa kwa unyororo na msisimko, katika mazingira yanayoleta raha, na kila mmoja akiwa huru bila hatia au donge moyoni na bila kuwa na wasiwasi wa kupata mimba; basi tendo la ndoa huweza kuwa ni wakati wa furaha kuliko kitu chochote duniani, ni tukio la ajabu, huweza kuleta kumbukumbu za kudumu na njia bora ya kuwaunganisha binadamu wawili.
Ingawa hii ni kweli, bado kuna baadhi ya wanandoa pamoja na kupendana sana na kila mmoja kumfurahia mwenzake bado hujikuta hawana hamu ya kufanya mapenzi au maisha ya sex yanakuwa bado ni tuta au hukosa hamu.

Kama sex ikifanywa kwa haraka haraka na rafu, au kama mmoja anadanganywa na ameumizwa au kama mmoja ana hofu ya kupata mimba basi sex inaweza kuwa ni kitu ovyo sana (horrible experience).
Pia sex huweza kuwa si chochote kama mmoja ya wanandoa anategemea mambo makubwa sana kutoka kwa mwenzake
Pia ifahamike kwamba sex na mtu mmoja huweza baada ya muda mrefu hupelekea kupoteza hamu au niseme excitement wanayopata wanandoa katika mwaka wa kwanza si sawa na ile ya mwaka wa pili na wa tatu na hii lazima ikubalike na kutegemewa katika ndoa yoyote na pia hii si dalili kwamba upendo umeisha au kwamba ndoa ina matatizo au mmoja anatoka nje au atoki nje, bali ni wakati mzuri wa kujipanga upya na kutengeneza stage mpya ya kupata msisimko mpya na si kuanza kuchezesha macho nje bali kwa pamoja kushirikiana kujipanga upya na kusababisha “falling in love” upya.

Monday, 22 June 2015

KWANINI WANAWAKE HUDANGANYA KUFIKA KILELENI?

Kila mmoja amesikia tetesi au fununu kwamba wanawake hudanganya kwamba wamefika kileleni.
Ni kweli hili jambo lipo; wanawake wengi wameshawahi kuwafunga kamba wanaume zao zaidi ya mara moja na wengine ni kamchezo kao ka mara kwa mara, hata wewe unayesoma hapa inawezekana usiku ulimdanganya kwamba umefika kileleni kumbe usanii mtupu.

Swali la kujiuliza hivi kwa nini wanachukua uamuzi wa kudanganya kwamba wamefika kileleni wakati si kweli?

Lazima kutakuwa na sababu za msingi kwani wanawake ni viumbe wanaojua kupenda kuliko wanaume na kama kuna sababu za msingi hii ina maana hawastahili kulaumiwa.
Pia tumesikia kwamba mwanaume ukiwa na wallet nzito mwanamke hufika kileleni haraka zaidi tena kwa kelele utadhani ni vuvuzela.
Katika dodosa dodosa akina dada wengi na akina mama wengi sababu kubwa zinazopelekea wawadanganye wanaume zao kwamba muziki umejibu kwanza ni kitendo cha kutopenda waume zao wajisikie kuwa discouraged kwani wakati mwingine wao wanawake huwa wanakuwa wamechoka na wanapenda love making sessions iishe na njia sahihi ni kuonesha kwamba wamefika kileleni.
Kama wewe ni mwanaume upo kwenye ndoa fikiria umejitahidi kufanya kila unaloweza kumfanya mke wako ajisikia kupenda sex (umemsaidia kazi, na umefanya kila unaloweza ili ajisikia unampenda) ile mnaenda kitandani mke wako anakwambia:
“Mimi nimejichokea hivyo fanya tu, ukimaliza niambie”
Utajisikiaje?
Kuna tofauti gani kati ya ku-romance jiwe na mwanamke ambaye anakukabidhi sex organ na yeye analala usingizi?
Si afadhari akufunge kamba kwamba yupo na wewe na amefika kileleni haraka kumbe ni fake?
Naamini umepata jibu!
Pia wapo wanawake ambao wanakiri kwamba waume zao huwa hawaridhiki kimapenzi hadi mke afike kileleni, hivyo faking ni njia sahihi ya kumfanya mume aridhike na mwanamke asichoke.
Sababu nyingine ni kwamba mwanamke anapomuhitaji mume wake kwa sex si mara zote anahitaji kufika kileleni, wakati mwingine mke huhitaji ukaribu wa kimapenzi (intimacy), hata hivyo wanawake wengi huamini kwamba kuwa na mtazamo kama huo inaweza kumfanya mwanaume asijisikie vizuri na njia sahihi ya kumfanya mwanaume wa aina hii afurahi ni kumdanganya kwamba amefika kileleni.
Pia wapo wanawake ambao si kawaida yao kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa inawezekana ni skills kidogo kutoka kwa waume zao au namna walivyo.
Wanawake hawa hupenda sana waume zao wajisikia wanaweza na wanawaridhisha na hakuna njia nyingine zaidi ya faking.
Kama mwanaume atakuwa na focus kubwa kwa ajili ya kumfanya mwanamke afike kileleni badala ya kumpa raha ya mapenzi, basi uwezekano wa mwanamke kudanganya huongezeka.
Mwanamke hujiona amempa mume disappointment kubwa mno kama hajafika kileleni kwani anaona juhudi ya mume wake, hivyo faking is the true name of the game.
Kudanganya kwamba amefika kileleni huweza kuwa sanaa nzuri sana kwa mwanamke smart ambaye anafahamu namna ya kucheza iana hii ya maigizo.
Atambana mwanaume wa watu (kwida kabisa), atatoa miguno wa kimahaba, atapumua kwa ndani, atabadilisha sura na uso, atajivuruga kwenye pillow kisanii na kijiografia hadi mwanaume aingie mjini.
Wanawake wataendelea kudanganya tu kwamba wanafika kileleni na wanaume hawawezi kufanya chochote zaidi kwa kuendelea kufurahia tu.
Kama ukigundua kwamba mke wako anakudanganya kwamba amefika kileleni jambo la msingi si kulaumiana bali kuzungumza au kujadiliana na kufahamu sababu zinazofanya mfungane kamba kiasi hicho na kama inawezekana nini kifanyike ili kuwa na kitu halisi.
Mapenzi ni sanaa na kwenye sanaa kuna actors.