Monday, 22 June 2015

FANYA HAYA ILI AFURAHUE TENDO LA NDOA..

MWANAMKE

Ili mwanamke afurahi tendo la ndoa:
Ni muhimu ajisikia anapendwa na mume wake, ajione yeye ni kitu cha thamani na kusifiwa na mume wake.
Ni pale anapojiona anasikilizwa na kuwa respected.
Pale kukiwa na mazingira ambayo ni romantic (ndiyo maana sex on spot au bila kuandaana na kupeana muda wa kuwa connected kimapenzi huwezekana kwenye movies na si kwenye real life) mke anahitaji kusaidiwa kazi ndogondogo kama kupika, kuosha dishes, kusafisha nyumba, watoto nk ndipo awe tayari kwa kumfanya Mr.. aendeleze smile lake. Mke hupenda na hujiamini pale anapojiona ni msafi hasa kabla ya kuguswa sehemu yoyote katika mwili wake, kwake hygiene ni jambo la msingi sana ingawa wanaume wengi hujisahau as if hadi wafanyiwe sniff test.
Mwanamke ili afurahie tendo la ndoa anahitaji privacy.
Anahitaji kuhakikishiwa kwamba mlango umefungwa pia hakuna mtu anaewasikiliza au kusikia heka heka za mahaba (ndiyo maana si rahisi sana mwanamke kukubali tendo la ndoa akiwa nyumbani kwa wakwe.
Mwanamke anahitaji kujiona mume anamuelewa na zaidi anapata kisses, hugs, touch, na cuddling mara kwa mara.


MWANAUME:

Mwanaume ili afurahi tendo la ndoa;
Ni pale anapojisikia kwamba mke wake anamuhitaji, hiyo ni siri kubwa ambayo mwanaume hujiona anasisimka kimapenzi.
Pia mwanaume ili afurahie sex anahitaji sehemu au mahali ambapo anaweza kuhudumiwa na kwa mwanaume sehemu yoyote, eneo lolote hana tatizo kwake sex inawezekana.
Hii ina maana kama kuna mahali binadamu anaweza kwenda au kufika basi mwanaume kwake sex inawezekana.


Sunday, 21 June 2015

TAMBUA MAADUI WA MWANAMKE KUFIKA KILELENI

Si utundu na ujanja wa mwanaume tu unaomwezesha mwanamke kupata utamu wa kufika kileleni (mshindo, orgasm, coming) bali mwanamke pia anahusika.Kufika kileleni ni nini?

Ni kiwango cha juu kabisa cha utamu, hisia, raha, msisimko wakati wa tendo la ndoa wakati ambapo misuli ya uke au uume hukaza.
Kwa mwanaume huambatana na kutoa manii (ejaculation).
Wengine wakifika kileleni hupiga kelele sana, wengine huongea maneno ovyo ovyo hata matusi, wengine huzimia kabisa, wengine huwakwida wapenzi wao kama vile kibaka, wengine hutulia kimya na kupitilia za usingizi na wengine ukiwauliza wanasema mahali walikuwa ni kama vile walikuwa hewani, wengine kama vile walikuwa wananamwona Bwana (Yesu) n.k ilimradi tu ni raha na utamu na ni kweli Mungu alitupa zawadi ya ajabu na hii ni kujulisha kwamba Mungu alituumba tena kwa namna ya ajabu.
Pia wengine huita kufikia mshindo, wengine huita coming n.k
Pia wapo ambao kwa tendo moja la ndoa huweza kufika kileleni zaidi ya mara moja.

Je mwanaume na mwanamke wote hufika kileleni sawa?

Kwa wanaume kufika kileleni ni suala ambalo ni automatic, halina mjadala, kitu cha msingi kwake ni kujitahidi asifike mapema kileleni ili amfikishe mke wake pale anatakiwa kufikishwa, kwani mara nyingi mwanaume akifika kileleni hupoteza uwezo wa kuendelea na tendo.

Katika nchi zilizoendelea kama USA na Canada utafiti mwingi unaonesha kwamba
Asilimia 15 % ya wanawake hufika kileleni mara zote.
Asilimia 48 % ya wanawake mara nyingi hufika kileleni.
Asilimia 19 % ya wanawake ni kawaida kufika kileleni lakini si mara nyingi
Asilimia 11 % ya wanawake ni nadra sana kufika kileleni na
Asilimia 7% ya wanawake hawajawahi kufika kileleni na hawajui ni kitu gani.

Hapa ni wanawake kutoka nchi zilizoendelea ambako elimu kuhusu mapenzi ni kubwa sana.
je, kwetu nchi zilizogoma kuendelea hali itakuwaje?
Ukizingatia wanaume wengi bado hawajajua nini wanawake wanahitaji ili kufikishwa kileleni?

Pia kuna baadhi ya wanawake ambao hata wasipofika kileleni hawana shida wanaridhika tu bora maisha yanaenda.
Nini Kitu muhimu kuhsu mwanamke kufika kileleni?
Wanawake wanaweza kuendelea kupata utamu hata baada ya kufika kileleni hivyo ni jukumu la mwanaume kuhakikisha anabaki ndani ya uke hadi anahitimisha tendo zima (conclusion) angalau kwa dakika 10 au 15 ndo ukimbie kuoga au kupiga usingizi siyo kumwacha kiumbe wa watu kwenye mataa akuugulia kwsa kumuondolea utamu na raha.

Tendo la ndoa huwa ni la kuridhisha sana hasa pale mume anapomfahamu vizuri mwanamke na kile anahitaji kwa kumfanyia utundu wote wa kuchokonoa sehemu zote ambazo zinaweza kumhakikishia kwamba atafika kileleni.
Lakini pia mwanamke anasehemu kubwa sana ya yeye kujihakikishia anafika kileleni si mwanaume tu ni suala la wote.

Je maadui wakubwa wa mwanamke kufika kileleni ni nini?

1.KUKEKETWA.

Kukeketwa ni kitendo cha kukata sehemu ya uke hasa kisimi kwa wanawake.
Katika Afrika kuna nchi 28 ambazo hufanya hicho kitendo cha kikatili, na pia nchi kama Yemen na Indonesia bado wanafanya.
Ingawa wanawake waliokeketwa huweza kurudia hali ya kuweza kufika kileleni, walio wengi huathiriwa sana na hiki kitendo na kuwasababishia kushindwa kufika kieleleni.

2. DINI,JADI NA UTAMADUNI.

Kuna baadhi ya mitazamo na malezi ya dini, jadi au tamaduni huwapa wanawake mtazamo mbaya, finyu na usio na maana kuhusiana na tendo la ndoa.
Katika dini, jadi, na tamaduni nyingi ukiacha jando na unyago, elimu ya mwanamke kuhusu mwili na uzazi havifundishwa wala kutamkwa matokeo yake wanawake wengi hawaijui miili yao, kiasi ambacho unakuta kijana wa kiume anamuoa binti hajui chochote kuhusu mwili wa huyo mwanamke na mwanamke mwenyewe hajui chochote kuhusu mwili wake mwenyewe, akiguswa chuchu anakataa kwani ni kwa ajili ya mtoto, hapo utategemea afikishwa kileleni kweli?

3.KISAIKOLOJIA.

Hili huchangia kwa asilimia 95 kwa matatizo yote yanayosababisha mwanamke asifike kileleni.
Adui mkubwa anayetisha sana wa mwanamke kutofika kileleni ni akili (mind.)
Hofu labda ya kuachwa,
mashaka, kutojiamini, kukasirika,
donge moyoni, kisirani au
mahusiano kutokuwa mazuri huweza kusababisha mwanamke kutofika kileleni.
Kushindwa ku- concentrate kwenye tendo lenyewe na kupata hisia halisi (sensations).
Kuwa na mawazo ya kitu kingine wakati wa tendo la ndoa
Mawazo hasi (Negative) kuhusu tendo la ndoa, pia Kuwa mchomvu.

4.KIBAIOLOJIA.

Kama vile kuwa na mfumo ovyo wa mzunguko wa damu kwenye maeneo ya viungo vya uzazi pia huchangia.
Anaweza kuwa na uvimbe au kisukari pia huchangia.
pia hitilafu za viungo baada ya kufanyiwa upasuaji hasa sehemu ya uke.

5. UMRI.

Kuna wakati mwanamke kuanzia miaka 48 – 52 hupata mabadiliko ya upungufu wa homoni na huo upungufu husababisha sehemu ya uke kuwa kavu wakati wa tendo la ndoa.
Kuwa na uke mkavu huchangia katika ufanisi wa tendo la ndoa kuwa mdogo na hatimaye kushiondwa kufika kileleni
Si kweli kwamba mwanamke akizeeka uwezo wa tendo la ndoa unakuwa mdogo, muhimu ni kutumia vilainisho kama gel au KY jelly na libeneke linaendelea kama kawaida.

6.KUTUMIA MADAWA.

kama unatumia dawa za kuzuia msongo wa mawazo pia huchangia ile hamu ya tendo la ndoa (libido) na matokeo yake kukosa kufika kileleni.
Pia kuna dawa za uzazi wa mpango hupunguza hamu ya tendo la ndoa hasa zile ambazo huingizwa mwilini (sindano)
Pia dawa za kupunguza pressure hupunguza uwezekano wa kufika kileleni.

7.POMBE,MADAWA YA KULEVYA NA SIGARA.

Alkoholi na madawa ya kulevya hupunguza sana hamu ya tendo la ndoa.
Huathiri mfumo wa Fahamu unaohusika na mzunguko wa hisia za mapenzi kati ya ubongo na uke.
Kama inavyoathiri (alkoholi) mwanaume kudindisha vilevile huathiri mwanamke kufika kileleni.

8.MWONEKANO,UREMBO NA UMARIDADI.

Kwa mwanamke jinsi anavyoonekana na jinsi mwanaume anavyoonekana kuna sehemu katika hisia za mapenzi (emotions na feelings).
Kama yeye mwenyewe anajijua kwamba hayupo vizuri kimwonekano (urembo, usafi, harufu) na pia kama mwanaume hayupo sawasawa basi anakuwa ameathirika sana kiasi ambacho hawezi kufika kileleni.
Pia wanawake wana uwezo mkubwa kunusa harufu kuliko mwanaume hivyo harufu yoyote mbaya kwake huwezi kumpeleka nje kabisa ya njia ya kwenda kileleni.

9.MAZINGIRA.

Kama eneo au chumba mlichopo hakina usalama kama vile anahisi mtu anachungulia au anaweza kuingia, kwa mwanamke hiyo ni issue kwani hawezi kufika kileleni kwa sababu ya usalama wake.
Je kuna jinsi ya kuondoa tatizo la kutofika kileleni?
Kujiruhusu mwenyewe kupenda tendo la ndoa na zaidi kupenda kufika kileleni kwa hamu kubwa.
Kuwa responsible kwa mambo yote yanayohusu ufanisi wa tendo la ndoa.
Kujipa elimu na maarifa kuhusu elimu ya mapenzi kwa mwanaume na mwanamke, viungo vinavyohusika na kila kitu kinachiweza kukupa tofauti katika ufanisi uimarishaji wa tendo la ndoa kama unavyosoma hapa sasa hivi.
Kuwa na mawasiliano wakati wa tendo la ndoa hasa kuhusiana na maeneo yote ambayo unasisimka pale ukiguswa au kuchezewa.
Kufanyia kazi kila tatizo lolote la kisaikolojia na kupata solution kabla ya tendo la ndoa.

Wednesday, 10 June 2015

NJIA ZA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI.

Ni wazi kuwa kuna wanawake wengi wanaofanya tendo la ndoa kila siku,lakini ni wachache sana wanaopata nafasi ya kufika kileleni..

Ni ngumu sana mwanamke kufika kileleni ikiwa mwanaume hatajua njia sahihi na sehemu za kumfanya mwanamke wake afike kileleni..
Hapa nitawaletea njia ambazo zitamfanya mwanamke aweze kufika kileleni..

1. KUFIKA KILELENI KWA NJIA YA KISIMI..

Njia hii ni pale hisia za raha ambazo ni zaidi ya kawaida,zinaanzia kwenye kisimi,zinatengeneza mawimbi ya utamu na kuyasambaza mwili mzima hadi kwenue ubongo.Kwenye uke wa mwanamke kuna sehemu 4 ambazo zimejaa nerves ambazo husababisha mwanamke apate raha sana wakati wa kupeana utamu,na mojawapo kati ya sehemu hizo ni kisim.Ingawa ni kweli kisimi ndo kimejaa utamu na raha sana,lakini wanawake wanatofautiana linapokuja suala zima la kumsisimua la mwanamke kupitia kisimi chake.Wengine inabidi utumie nguvu kidogo,wengine kawaida na wengine taratibu kutegemeana na usensitive wa visimi vyao.

Zipo njia mbili kuu za kumfikisha mwanamke kileleni kwa kutumia kisimi.

1) KWA KUTUMIA KIDOLE.
Kwa kutumia njia hii hakikisha vidole vyako ni visafi na kucha zako fupi sana.
Kabla hujaanza kumsisimua kisimi chake hakikisha umeshatumia zaidi ya dk 10 kumsisimua maeneo mengine ya mwili wake kama vile matiti,lips,mapaja,makalio nk.
Kwani inatakiwa uke wake uwe umeloa kabla hata hujaanza kusisimua kisimi chake chake.
Tumia majimaji ya uke kukilowanisha kidole chako kwani ukimchezea wakati uke wake ni mkavu utaishia kumuumiza badala ya kumpa raha.
Anza kusugua kisimi chake taratibu huku ukiangalia kwa makini jinsi anavyopokea.
Baada ya dk 1,ongeza speed kidogo kisha angalia jinsi anavyolipokea zoezi hilo.
Usiongeze na kupunguza speed mara kwa mara unaweza ukampotezea mood kwani ataishia tu kusikia raha lakini hatofika kileleni..
Sugua kisimi kwa mpangilio unaoeleweka kwa zaidi ya dk 10 bila kubadilisha ili asipoteze mood katikati ya safari yake ya kufika kileleni,kama ulikuwa unasugua kwa kutengeneza duara basi fanya hivyo mpaka dk 5 ziishe,kama ulikuwa unasugua kutoka juu ya kisimi kwenda chini chini au chini kwenda juu,basi fanya hivyo mpaka dk 5 ziishe ndio ubadilishe.
Uvumilivu ndio siri ya mafanikio,kwa sababu mpaka afike kileleni ni baasa ya dk 10 au 15 kutegemeana na kisimi chake kipo sensitive kiasi gani au yeye mwenyewe ana hamu kiasi gani...

Njia ya pili ya kumfikisha kileleni kwa kutumia kisimi ni ya shortcut zaidi..hii ni ya kutumia ULIMI...tutaendelea nayo next time

Tuesday, 9 June 2015

MTAMBUE MKE WAKO NA JINSI YA KUMSISIMUA..

Mara nyingi kuna usemi kwamba kwa mwanaume kawaida ana kitu kimoja tu ambacho kinaweza kumfanya apate hamu ya kufanya mapenzi nacho ni “kitu chochote”.
Najua hujanielewa ila Ukweli ni kwamba mwanaume ni tofauti sana na mwanamke linapokuja suala la kusisimka kimapenzi kwani mwanaume anaweza kusisimka (stimulated) hata pale tu mwanamke au mke wake akiwa nusu uchi, au uchi au hata kile kitendo cha kuvua nguo au akiwa amevaa kivazi chochote kinachoshawishi, wanawake hawapo hivyo.
Wanawake kila mmoja ni tofauti hata huyo mmoja (mke wako) yupo tofauti kila siku katika mwezi mmoja, mwaka na miaka.
Mwanaume unahitaji kuwa mbunifu kufahamu namna upepo wa hamu ya mapenzi unavyovuma kwa mke wako, kwani ukilemaa unaweza kuchanganya mambo na kupitwa na wakati.
Unahitaji kujifunza nini kinaweza au kwa sasa kunamsisimua mke wako kuwa tayari kukupa nafasi ya kufurahia tendo la ndoa.
Inawezekana mkeo ni aina ya wanawake ambao husisimka na kuwa tayari kimapenzi kwa kuguswa, kumbatiwa, ama kushikwashikwa (caresses)

Au Inawezekana mke wako ni aina ya wanawake ambao ukitaka apate hamu ya kuwa na wewe ni sharti uongee, umsifu, umtie moyo,ama uchonge sana maneno matamu.

Inawezekana yeye ni wale wa kuwashirikisha siri, au malengo au jambo lolote unafanya au waza ndipo afunguke kimapenzi yaani SHARE WITH ME GIRL.

Inawezekana mke wako ni walewale usipofanya kazi naye, usipomsaidia vikazi vidogo vidogo pale nyumbani, kupika chakula, kufunga net nk hawezi kujibu kimapenzi yaani DOING GIRL.
Inawezekana ni aina ya mwanamke ambaye ukitaka ufurahie mwili wake na moyo wake chumbani lazima mfanye maombi, au soma Neno (Biblia), au fanya ibada au ongea mambo ya kiroho yaaani SPIRITUAL GIRL...hivyo ni muhimu kwa mwanaume kugundua mapema aina ya mke alienae.

Thursday, 28 May 2015

NI MUHIMU KUZINGATIA HAYA,UNAPOCHAGUA MTU WA KUOANA NAE..

Suala la kuchagua mtu wa kuoana naye ni hatua rahisi ya muhimu katika process ya kuingia katika ndoa.
Jambo la msingi ni kuweka mkazo au msisitizo zaidi katika sifa za binadamu alivyo ndani yake kuliko kuangalia vitu alivyonavyo na anavyoonekana. Pia sifa za akili zake (mental) ni muhimu kuliko sifa za mwilini (physical).
Sifa za ndani za kibindamu si rahisi sana kubadilika kama sifa za nje na vitu alivyonavyo ambavyo hubadilika.
Pia tusisahau kwamba katika suala la kuchagua mke au mume wa kuishi naye katika ndoa suala la bahati lipo na hapa hakuna maswali.
Hata hivyo suala la kukubaliana kuoana na mwanaume au mwanamke ambaye ni cha pombe ukiamini mkioana ataacha au utambadilisha ni suala ambalo Unajidanganya.
Pia kwa mwanaume kuoana na mwanamke kwa sababu tu anaonekana mrembo na kupuuzia sifa zake mbaya, ni kujimaliza mwenyewe.
Tumia muda kufahamu maisha ya nyuma ya mtarajiwa wako, fahamu namna mahusiano yake ya zamani yalikuwa, isije kuwa bado yanaendelea.
Kwani kupuuzia vitu vya msingi kama hivi unaweza kujikuta unalipa gharama kubwa ya maisha yako.
Tafuta kama kuna vitu mnafanana ambavyo wewe unapenda kufanya kwani migogoro mingi huanza pale kila mmoja anapofanya kile anakipenda na mwenzake hapendi.
Na ndoa hujengwa na kushikwa na vitu vidogo sana katika maisha ya hao wawili.
Je, vile wewe vinakuchekesha na mwenzako hucheka?
Je, mnapenda vitu vinavyofanana?
Ndiyo maana ndoa za Hollywood huwa hazidumu kwa sababu mkazo ni kwenye vitu na sura (material things) ambavyo havina sehemu katika kufanya ndoa kuwa imara.
Kabla hujakubaliana kuoana na huyo mtu unatakiwa kujiuliza, hivi ni kweli ninampenda kweli huyu mtu kuliko mtu yeyote duniani?

Tuesday, 26 May 2015

NI MUHIMU KUFIKIRIA HAYA,KABLA YA KUAMUA KUACHANA.

Kwa wewe ambaye umeoa au kuolewa na upo unafikiria kuachana na mwenzi wako.

Fikiri upya uamuzi wako.
Fikiria hao watoto mlionao, Fikiria nyakati zote nzuri mlizokuwa nazo pamoja kama mke na mume, Fikiria sehemu tofauti ambazo mlitembelea pamoja, marafiki wazuri mliokuwa nao wote wawili kama mke na mume.
Iepuke talaka kwa gharama zote, sababu zinazokufanya uamue kuachana na huyo mume wako au mke wako zinaweza kuwa ndizo zitakazokuwa sababu mara nyingine tena mbele ya safari kama utaamua kuoa au kuolewa tena.
Sasa unaachana na Jeffy kwa kuwa umechoka na tabia zake za kulewa sana pombe, au kukutaka sex mara nne kwa siku na next time unaweza kujikuta unaachana na John kwa kuwa anakupiga mingumi usiku kucha na yeye sex kwa mwaka mara moja.
Inawezekana unataka kuachana na Aziza kwa sababu ni msumbufu na anakusema hata kwa vitu vidogo, hata hivyo unaweza kujikuta unaachana na Mary baadae kwa sababu si mwaminifu katika fedha.
Sasa utaishia wapi na hiyo project ya kuachana na kila unayeoana naye?
Ukiangalia kwa makini kinachobadilika ni tabia na mhusika tu ila wote ni binadamu na binadamu asiye na kasoro bado hajazaliwa hadi leo.


Maisha ni matamu sana kiasi cha kuyapoteza kwa kupeana talaka.
Wanaume wote duniani wanafanana pia wanawake wote duniani wanafanana , na sote ni binadamu.
Waingereza wanamsemo usemao "better the devil you know than the angle you don’t" tumia ubongo.
Wapo wanandoa ni wazembe kiasi ambacho huacha kutumia kila alichonacho kuhakikisha ndoa inarudi kwenye mstari, kukimbilia talaka si jibu bali ni kumsukuma tatizo mbele na matokeo yake utakuja kukutana nalo tena mbele ya safari.
Hata kama kuna mtu amekuahidi kwamba ukiachana na huyo uliyenaye basi yeye atakufanya uwe mtu mwenye furaha, hatakuumiza wala kukuacha, ni mwongo na anakudanganya kwani katoka sayari gani na binadamu gani.
Anaonekana anakufaa kwa kuwa huishi naye ukianza kuishi naye utajikuta umeruka mikojo na kukanyaga..


Jiulize mwenyewe upya.
Hivi kweli nimetumia uwezo kiasi gani kuhakikisha mwenzi wangu anajua namna tunahitaji kuirudisha ndoa yetu kwenye mapenzi upya kama tulivyoahidiana siku tunaoana?
Je, ni kweli nimefanya kila linalowezekana kusamehe na kusahau?
Je, ni kweli tunataka kuachana na kupeana talaka kwa sababu za msingi?
Kabla ya kuwasiliana na ndugu zako, rafiki zako, washauri wako, wanasheria au wachungaji wako Jaribu kukaa mwenyewe, na mwenzako kujadili upya na kwa upendo namna ya kutatua tatizo lenu na hakuna anayejua shida ya ndoa yako isipokuwa wewe na mwenzi wako.
Usifanye kwa haraka ukiamini unaingia kwenye uhuru.
Dawa ya kuachana au talaka ni kusamehe bila masharti.

Sunday, 17 May 2015

MWAMBIE MPENZIO UNACHOTAKA WAKATI WA SEX..

Kuongea suala la tendo la ndoa (sex) katika ndoa au kwa mume wako au kwa mke wako ni moja ya topic ngumu sana chini ya jua au katika uso wa dunia.
Kama utakuwa na maongezi au mawasiliano kuhusiana na suala la sex katika ndoa yako maana yake mtakuwa wazuri katika hiyo department.
Wanandoa wengi ambao wamekuwa na tabia ya kuongea kuhusu maisha yao ya sex kwa uhuru na ukweli wamekuwa na maisha mazuri chumbani kwako kwani si rahisi kufahamu mwenzako anahitaji kitu gani hadi umwambie.
Kuwa wakimya kuhusiana na kuongea kuhusu sex na mke wako au mume wako husaidia kuwa wajinga zaidi na wakati mwingine kutoridhishana sawa na uhitaji wa mwili wako au feelings zako.
Hatari kubwa zaidi ni pale wanandoa wanaposhindwa kuongea wenyewe na matokeo yake kutoridhika na kutoridhika ndiko husaidia kukwetua njia ya mmoja au wote kuanza kuangalia nje (kuchepuka)
Firikia wewe ni mwanamke una vitu mume wako akifanya basi huwa unajisikia kusisimka na mwili kuanza kutoa kuwa juicy na kutamani sana sex na mume wako.
Kwa nini usiwe huru ukamwambia kwamba unapenda iwe hivi:

WAKATI UMESISIMKA....
Mwambie hivi Natamani mume wangu na wewe uwe unatoa sauti au na wewe uwe unaongea,
Napenda uwe unaongea maneno matamu ya kimapenzi,
Napenda mume wangu nini unakipenda kwenye mwili wangu,
Napenda uniguse (touch) na kunichezea namna hii (onesha),
Napenda ufanye hivi kwenye chuchu na matiti yangu,
Napenda unitazame usoni,
Napenda unichezee kisimi namna hii (mwambie unapenda afanye kwa kutumia nini na namna gani)
Napenda ufanye hivi kwenye G- spot,
Napenda kuchezea uume wako hivi nk

WAKATI WA KUHONDOMOLA..
Mwambie mpenzi Napenda na wewe uwe unaguna na kutoa sauti za kimahaba au uongee maneno matamu na elezea namna unafurahia au unajisikia kuwa ndani yangu,
Napenda uendelee kunibusu namna hii,
Endelea kusisimua kisimi changu namna hii (eleza kwa kutumia nini)
Natamani tunapoanza tuanze kwa mlalo huu na baadae tumalize kwa mlalo (love making position) hii,
Natamani uanze kwa kasi au msuguano wa polepole na baadae haraka zaidi namna hii,
Nioneshe kama na wewe unafurahia,n.k

UNAPOFIKA KILELENI
Mwambie mpenzi Napenda upunguze kasi na kuniacha au napenda uongeze kasi unapoona nakaribia kufika kileleni,
Napenda unikumbatie na kunibusu nk

BAADA YA KUMALIZA KUHONDOMOLA..
Mwambie mpenzi Napenda sana uendelee kubaki ndani yangu hadi tulale usingizi nk,
Napenda unikumbatie huku tunalala,
Napenda angalau mkono wako au mikono yako ibaki mwilini mwangu huku tunalala,
Natamani tuendelee kupiga story,
Natamani uendelee kunibusu.

Kumbuka huu ni mwongozo tu kwani kila mwanamke ana mahitaji yake kutoka kwa mume wake jambo la msingi ni kwamba jisikie huru kuongea na mume wako nini unahitaji kabla, wakati na baada ya sex.
Usisubiri eti utafaidi sana sex baada ya kumaliza kusomesha watoto au hadi mfanikiwe maisha au hadi umalize miradi Unayofanya kwani itafika Mahali utakuwa na pesa na muda ila nguvu huna,