Saturday, 14 February 2015

AMEKUSALITI,LAKINI BADO UNAMPENDA?

Mada yetu ya leo, kama inavyojieleza kwenye kichwa cha habari, ni mambo unayopaswa kuyafanya unapogundua mpenzi wako amekusaliti wakati bado unampenda na unahitaji kuendelea kuwa naye katika uhusiano wa kimapenzi.

Vitabu vya dini zote vinaeleza kuwa kosa pekee linaloweza kuivunja ndoa, hata ile iliyofungwa kwa baraka za Mungu, iwe ni madhabahuni au msikitini, ni USALITI. Yaani hata kama ulikuwa unampenda vipi, ikitokea amekusaliti na umegundua ukiwa na ushahidi, una haki zote za msingi za kutoa/kudai talaka au kuachana kabisa (kama bado hamjaoana).

Hata hivyo, kuna mazingira ambayo yanaweza kukutokea, ukagundua mkeo, mumeo, mchumba au mpenzi wako amekusaliti lakini kutoka ndani ya moyo wako, ukawa haupo tayari kuachana naye kwa sabahu bado unampenda sana licha ya kwamba amekukosea.
Kuna watu kadhaa ambao wamekutana na hali kama hiyo na hawajui cha kufanya, ndiyo maana leo nimeamua tuijadili mada hii na wewe msomaji wangu.
Naamini mimi peke yangu sijui kila kitu wala ushauri wangu hauwezi kuwa wa mwisho lakini nataka kukushirikisha wewe msomaji wangu, hebu niambie utafanya nini unapotokewa na tukio kama hili? Unampenda kwa moyo wako wote, umemfanyia mambo mengi lakini mwisho ukagundua kuwa amekusaliti, utafanya nini?

Mapenzi yamegeuka shubiri, usaliti na maumivu ya moyo yamegeuka na kuwa sehemu ya kawaida katika uhusiano wa kimapenzi. Watu wengi wanalia kwa sababu wanasalitiwa au waliwahi kusalitiwa na wenzi wao, si wanawake, si wanaume, si wanandoa, si wachumba wala wapenzi!

Zipo sababu nyingi zinazosababisha usaliti lakini lengo langu leo siyo kuzungumzia hilo bali ni kujaribu kuiponya mioyo ya wote waliojeruhiwa na watu wanaowapenda sana kwa kuwasaliti.
Yawezekana ulitokea kumpenda sana mwenzi wako, ukaamini wewe ndiyo kila kitu kwake, ukamtimizia kila kilichokuwa ndani ya uwezo wako lakini mwisho, ukaambulia maumivu baada ya kugundua kuwa yupo mwingine anayekuibia mali zako.

Sitaki kupingana na maandiko ya vitabu vitakatifu au sheria ambazo zipo wazi kwamba malipo ya usaliti ni kuvunjika uhusiano lakini nataka tujadiliane, ni lazima kila unapogundua kuwa mwenzi wako amekusaliti dawa yake ni kupeana talaka au kuachana kwa ugomvi?

Mathalani umefunga ndoa na kuishi na mwenzi wako kwa kipindi kirefu mkipendana, kujaliana na kuoneshana kila aina ya mahaba lakini akateleza na kukusaliti ilihali bado anakupenda na wewe unampenda, utakapoamua kuachana naye na kwenda kwa mwingine, ukigundua naye anakusaliti utafanya nini? Utaachana na wangapi?

Siyo mara zote talaka au kuachana huwa suluhisho la usaliti ndani ya ndoa. Siwafundishi watu wasaliti ndoa zao au uhusiano wao kwa makusudi wakitegemea kusamehewa, hapana.
Nataka uelewe kwamba hata baada ya mwenzi wako kukusaliti, bado mna nafasi ya kuendelea na maisha yenu ikiwa wote wawili mtaamua kulishughulikia tatizo hilo kwa kina bila kujali watu wa nje wanasemaje.

Usikilize moyo wako, ni kweli amekusaliti! Amekuumiza, unahisi dunia yote imekuelemea, unatamani kufa au kuua, lakini je, moyo wako unakuambia nini? Upo tayari kumruhusu mwizi wako ndiyo awe mmiliki halali wa mwenzi wako ambaye bado unampenda?

Wednesday, 11 February 2015

MAMBO MUHIMU MAKUU 4 UNAPOKUWA CHUMBANI NA MPENZI WAKO.

Haya ni mambo 4 muhimu unayopaswa
kuyazingatia uwapo chumbani na mpenzi
wako mnapotaka kufanya mapenzi.

1. WEKEZA MAWAZO YAKO KWA MPENZI
WAKO
- Pindi uwapo chumbani na mpenzi wako
jaribu kuwekeza mawazo yako kwa mpenzi
wako ulie nae kwa muda ule, epuka
kufikiria mambo ya nje yaliyotendeka
usiyape nafasi mawazo yako kufikiria vitu
vingine. Unapokuwa chumbani na mpenzi
wako jitahidi kuacha mawazo tofauti
yasiyohusiana na tukio mnalotaka
kulitenda wewe na mpenzi wako hata kama
siku hiyo kuna mtu alikuudhi na unahasira
au pengine kunajambo lolote limekutokea
kwa siku hiyo basi jaribu kuvisahau na
mawazo yako yawe katika mazingira
mliyopo wewe na mpenzi wako kwani
mapenzi ni hisia sasa endapo kama
utakuwa upo ndani na mpenzi wako halafu
ukaanza kuwa unafikiria 

vitu vingine
itapelekea kushindwa kulifurahia penzi
vizuri kwani mawazo yako yatakuwa hayako
pale. Hivyo nivizuri kuwa makini na
kuziwekeza fikra zako zote katika sehemu
husika uliyopo.

2. EPUKA KUPIGA STORY ZISIZO HUSIANA
NA MAPENZI
-Fahamu kuwa pindi
unapokuwa chumbani na mpenzi wako
hupaswi kuanzisha mada zilizo nje ya
mazingira husika elewa kwamba uko
chumbani na mpenzi wako kwa lengo la
kutaka kufurahia mapenzi hivyo maongezi
yako yanatakiwa yalenge mada husika,
usianze kupiga story za ajabu ajabu jitahidi
kuongelea suala zima la mapenzi kwa
kumpa maneno matamu mpenzi wako ya
kimahaba unaweza kuanzisha mada ila
ihusiane na mapenzi na isiwe ni mada
ndefu mpaka ukamboa mpenzi wako. Kuwa
makini  zungumza nae kwa muda mchache
na viwe ni vitu vya msingi na vyenye
maana usianze kuzungumzia habar za watu
au habar za nyumban kwenu zungumzia
vitu vinavyokuhusu wewe na yeye kwa
wakati ule na usiwe muongeaji sana.
Jitahidi kuongelea mapenzi yenu huku
mkiwa katika mikao ya kimapenzi kama
kulaliana n.k. Epuka kuonekana dhaifu
pindi uwapo chumbani na mpenzi wako.

 3. EPUKA KUMWAMBIA NAOMBA TUFANYE
MAPENZI
- kitu cha 3 cha kuzingatia unapokuwa
chumbani na mpenzi wako kwa lengo la
kutaka kufanya nae mapenzi ni kuepuka
kumwambia "NAOMBA TUFANYE MAPENZI"
Tambua kuwa mnapokuwa chumbani na
mpenzi wako lengo lenu linakuwa ni
kufanya mapenzi kwani kabla ya kukutana
katika eneo lile mnakuwa mmeishapanga
mkutane kwa lengo la kufurahia mapenzi
sasa mpenzi wako atakuona ni mtu wa
ajabu pindi utakapomwambia kuwa
unahitaji kufanya nae mapenzi wakati kaja
kwako akiwa anajua anakuja kufanya tendo
husika la mapenzi hivyo utakapomwambia
suala kama hilo kiukweli atashindwa kujua
akujibu vipi na mara nyingi suala kama hili
ukimwambia mwanamke si rahisi kukubali
lazima atakukatilia kwa kukwambia hayuko
tayari kwa siku hiyo kufanya mapenzi na
wengi wao hutoa sababu mbali mbali. Hivyo
unachotakiwa kukifanya ni kuanza na
matendo moja kwa moja anza kumshika
shika mvue nguo zote mchezee kisha anzeni
tendo ila sio umwambie nataka tufanye
mapenzi.

4. USIMUACHE MPENZI WAKO AJIVUE NGUO
YEYE MWENYEWE

-Jambo lingine kuu na la mwisho
lakuzingatia ni kuepuka kumuacha mpenzi
wako avue nguo zake yeye mwenyewe,
faham kuwa pindi uwapo chumbani na
mpenzi wako si vyema kusubiri mpenzi
wako ndio avue nguo zake yeye mwenyewe
unachotakiwa kufanya ni wewe kuanza
kumvua nguo moja moja na sio kumvua
kwa kukurupuka yani mmeingia2 chumbani
halafu unaanza kumvua hapana! Hakikisha
unaanza pole pole pengine unamchezea
chezea sehemu za kawaida unaanza kumtoa
nguo ya juu huku na huku mara umefata
nguo ya chini unaendelea kumchezea
chezea huku unamvua nguo nyingine
mpaka unamtoa zote. Usimwambie yeye
ndio azivue kwani si rahis kwa walio wengi
kukubali tu kuanza kuvua ila ni wajibu
wako wewe mwanaume au mwanamke
kuanza kumvua mpenzi wako.









UMUHIMU WA KUFIKISHANA KILELENI KWA WAPENZI.

Ndoa yoyote ambayo mke au mume hafiki kilele cha mlima kilimanjaro..hiyo siyo ndoa inayokwenda sawa na kuna madhara makubwa kwa pande zote,kwa maana ya mwingine kuweza kuamua kutoka.Ni vizuri walio kwenye ndoa kujifunza namna ya kupeana raha iwapasayo wanandoa kuipata.Kama unafikiri mkeo unaye kwa sababu amekuja kutafuta kula au kununuliwa magari na nguo,hilo ni kosa.Tafakari maana ya kupeana raha kwa kila kona.

Kama ni kula,kila mtu anaweza kujitafutia kwa njia mbalimbali kama ni kuuza mama ntilie na kadhalika.Mwanamke yuko kwa mume kwa sababu anahitaji kupata vitu ambavyo wanawake huvipata kutoka kwa wanaume; Mume ndiyo kichwa,iongoze ndoa yako vizuri kwa hekima...

Kwa asili,inatakiwa mke na mume kufanikisha zoezi hilo la kuwezeshana kufika kileleni na ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana siyo tu mwili unaondoa uchafu ndani ya mwili,pia inasaidia kuupoza mwili kuwa sawasawa.

Hivyo ili kulinda ndoa yenu au mahusiano yenu ni jambo la muhimu kuhakikisha kila mmoja anamfikisha mwenzie kwenye kilele cha mlima kilimanjaro,tusijidanganye kuwa limbwata la mganga ndiyo njia ya kudumisha penzi la hasha..Limbwata la kuhakikisha umemfikisha mwenzi wako kileleni ndio mwisho wa matatizo..

ZIFAHAMU NGUO SAHIHI ZA KUVALIWA CHUMBANI UKIWA NA MPENZI WAKO.

Mapenzi ni hisia,na hisia hizo huwa kwa wote yaani kwa wanaume pamoja na wanawake,baadhi ya walio kwenye uhusiano huwalalamikia sana wenzi wao na sababu kuu huwa ni kutokuwa na hamu ya kufanya nao tendo la ndoa.Hapa nitazungumzia mavazi yanayopaswa kuvaliwa chumbani hasa mnapokuwa wawili tu yaani mke na mume..

Mwanaume siku zote huwa na hisia za haraka sana hasa ukimjulia,lakini baadhi ya wanawake huwa wanashindwa kuzijua haraka mbinu za kumpandisha mzuka mumewe hata kama amechoka au ana hasira kwa siku hiyo...Ndugu yangu uchawi rahisi kwa mumeo ni kumvalia nguo nyepesi na yenye kuonyesha maumbile yako kamili,hii inaweza kuwa gauni nyepesi inayoonyesha maumbile yako ama siku hizi kuna mitandio milaini ambayo pia unaweza kuivaa pindi unapokuwa na mwenzi wako,ikumbukwe pia wanaume wengi hupatwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kwa kukosa hisia za kufanya tendo hilo lakini wanawake ni dawa nzuri ya tatizo hilo ikiwa ataweza kumuhamasisha mumewe kwa njia mbalimbali ikiwemo ya vazi ambalo litamfanya mzee asisimke..

NI VIGUMU KUPATA KAMA UMEINGIA KWENYE NDOA KWA UNAFIKI.

"NI lazima niolewe kwa sababu wadogo zangu wameshaolewa, aaah hapana bwana wadogo zangu wameshaoa kwa hiyo ni lazima na mimi nitafute mtu wa kuoana naye,”ndivyo wanavyojisemea baadhi ya watu.
Kuna wengine wanaoa kwa sababu wameshinikizwa. Lakini ukweli ni kwamba ndoa yoyote ambayo haina upendo wa dhati, ni kosa kubwa.
Katika hali kama hii baadhi ya watu huwa tayari kuoana na yeyote anayepita mbele yake hata bila kuangalia kwa makini kama kweli mtu huyu ni mzuri kwake au la.
Hali hii ya kukubali kuolewa kwa sababu wadogo zako wameolewa, huchangia kasi ya ndoa kuvunjika, kwa sababu watu wanaoana pasipo kupendana kwa dhati.
Ndoa ni nzuri, lakini lazima uelewe kuwa unapaswa kuoana na mtu kwa sababu umemuona anakufaa hasa baada ya kumchunguza kwa makini na kuamini kweli anakufaa.
Usiingie katika mapenzi kwa unafiki, unafiki wa kusema aaah kwa vile baba amesema nikikataa ataniona sina adabu....kumbuka ndoa ni maisha yako si ya baba yako wala mama yako. Ukipata shida utakayeumia kimaisha ni wewe, si mwingine.
Uongo pia ni suala baya katika uhusiano…mwingine ni mnywaji mzuri wa bia na aina nyingine ya vileo lakini ukimuuliza anakwambia mimi simwi wala sivuti, naye anakwambia aaah hata mimi bwana, yaani sipendi kabisa kunywa.
Kama wewe ni mnywaji, sema mimi nakunywa ili mwenzi wako ajue aina ya mke au mume ambaye atakuwa naye. Ingawa ni hatari zaidi kwa mwanamke kulewa, kuliko mwanaume hasa katika suala la uaminifu wa ndoa, lakini maisha ni makubaliano.
Ni rahisi mwanaume mlevi kubaki mwaminifu, lakini ni vigumu kwa mwanamke mzuri mlevi kubaki mwaminifu kwa ndoa yake, kama unabisha shauri yako.
Ninachotaka kusisitiza hapa ni umuhimu wa mtu kuwa muwazi hasa pale wanapoanzisha urafiki, hii itakusaidia hata katika siku za baadaye za uhusiano wenu kuishi kwa amani.
Eeeh bwana maana mumeo atakuwa anajua kwamba nimeoa mke mlevi, nimekubali, hakutakuwa na ugomvi, maana ulishamwambia kwamba mimi bila kunywa usingizi haupandi...siku ukifungwa jela au ukiumwa sijui utalalaje ? Mimi sijui, lakini ninachotaka kusema kwenye kipengele hiki ni kwamba wapo watu wanasema hivyo kwamba eti asipokunywa hajisikii vizuri, kitu ambacho si kweli.
Unafiki mwingine ni wa tabia katika mazungumzo nk, ndugu yangu kama unaelekea kuoa au kuolewa, ni vizuri siku moja tafuta uwezekano wa kugombana na mwenzi wako, uone kauli zake zikoje, anajibu vipi malalamiko.
Kuna wengine wanajifanya wakimya, lakini wana maneno machafu.
Unafiki hauko tu katika mapenzi, bali hata maofisini, mwingine anaweza kukuchekea na ukaamini ni rafiki, kumbe anakuchimba... wengine ni maarufu wa kutangaza mabaya ya wenzao, huku wao wakijiona ni watu safi, wajuaji wa mambo nk.
Katika maisha ni vizuri kuwa kama ulivyo, simamia kwenye ukweli wala usikubali kuingia kwenye uongo ili upate hiki na kile, maisha tunayoishi ni mafupi, uko leo, hujui kama kesho utafika, yanini kuwa mnafiki? Yanini kusengenya wengine? Yanini kuwa mtu wa majungu, badala ya kuangalia mambo yako ambayo yatakusaidia uwe na maisha bora zaidi kuliko ulivyo sasa?
Tangu mwaka uanze umeshateta watu wangapi? Umeshafanya unafiki mara ngapi? Je, kati ya maneno unayozungumza kwa siku, mengi ni ya aina gani....unafiki, uongo au heri kwa wengine? Mimi sijui, lakini wewe unalo jibu, lakini kwa vyovyote itakavyokuwa ni vizuri katika maisha pendelea kuachana na tabia za kinafiki.

Wednesday, 4 February 2015

FAHAMU MBINU ZA KUAMSHA NGUVU ZA KIUME.

Suala la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa sasa,kwa utafiti uliofanywa mwaka 2013 na shirika la Afya duniani unaonesha kuwa zaidi ya asilimia themanini ya wanawake hawatoshelezwi kimapenzi. Moja ya sababu kubwa inayochangia kutotoshelezwa huku kwa hawa wadada ni tatizo la upungufu wa uwezo wa mwanaume kumnyuka mwanamke kisawasawa ili kumkata nyege kabisa kwa kufika kileleni.
Wanaume wengi wa sasa wamekuwa wabovu kabisa katika kusimamisha mashine zao kiasi cha kuwa hata mdada awe mkali na mwenye mvuto namna gani amejitahidi sana kumtandika basi bao tatu kisha kitu inalala kabisaaa,tena kila bao huchukua dakika mbili tayari amekojoa.
Zifuatazo ni njia chache na salama kabisa za kuamsha nguvu za kiume maradufu.

1.AINA ZA VYAKULA

 Tusidanganyane chakula ndio kila kitu mwilini,vyakula vya nafaka zisizokobolewa ni vizuri sana kuupa uume nguvu kuliko unavyodhani. Hivyo kama ni ugali basi penda sana kula ugali wa dona na sio sembe kwani sembe huwa haina kiini cha njano chenye protini na wanga ambacho ni silaha sana katika kuutia nguvu uume na mwili kwa ujumla.
Matunda pia kama matango,karoti ni muhimu sana katika kujenga nguvu za kiume.Vyakula vingine ni kama mihogo mibichi,magimbi nk. Lazima uwe na utamaduni wa kutumia aina hii ya vyakula katika maisha yako ya kila siku, sio eti leo una mechi na mdada ndio unajifanya kufakamia mamihogo loo siku hiyo!

2.MAZOEZI
Mazoezi ya viungo ni muhimu sana kwani hufanya mwili uwe fit na hivyo huimarisha hata uume na kuufanya usilale kirahisi pale unapokuwa katika show na mrembo. Push up, kukimbia, kurukaruka na mazoezi mengine mengi ni muhimu sana.

3.ACHANA NA UNYWAJI WA POMBE ULIOPITA KIASI
Pombe ni hatari sana na inadhoofisha sana nguvu za kiume hivyo chunga sana unywaji wa pombe uliopitiliza kwani ipo siku utajikuta unamwangalia tu mkeo kama dada ako vile wakati yeye nyege zimempanda balaa,matokeo yake itabidi achapwe na njemba zinazojua shughuli huko nje.

4.ACHANA NA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
Hizi dawa ni hatari sana hasahasa zile za hospitali kwani maranyingi zimetengenezwa kwa kemikali ambazo huamsha vichocheo mwili kwa muda flani lakini baada ya muda tatizo litaongezeka maradufu kwani ni tiba kwa muda mfupi tu.

5.UWE MAKINI NA UPIGAJI PUNYETO
Hii kitu ni hatari sana hususani kwa wale wanaosugua sana mishipa ya uume hivyo huifanya isiwe ngangari kiasi cha kukusaidia kumshughulikia vizuri mtoto wa kike mwenye nyege zake. Hivyo kama unafanya haka ka mchezo inabidi uwe makini sana usijejutia.

Tuesday, 3 February 2015

HAYA NI MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUMUOMBA RUHUSA MPENZI WAKO KABLA YA KUFANYA.

1.Kuchat kwenye mtandao mara baada ya kurudi nyumbani au kama una kazi za ofisini ambazo inakulazimu uzifanyie nyumbani. Ni vyema
kumuomba mwenzi wako ruhusa kama hatajali kabla ya kukurupuka na kufungua lap top na kuendelea na kazi zako.Ni muhimu kuomba ruhusa kwa mwenzi wako kwa sababu huwezi kujua labda kuna jambo alikuwa anataka mjadili au anahitaji muda wa kuwa na wewe.

2.Kama utakuwa na mtoko na wafanya kazi wenzako au marafiki zako, ni vyema kumjulisha mwenzi wako mapema, ili ajue uko wapi.

3.Kama utachelewa kurudi nyumbani kutokana na jambo lolote ni vyema kumjulisha mwenzako, lakini pia hata kama utakula chakula huko ulipo ni vyema pia kumjulisha mwenzako kwa sababu anaweza akawa amekuandalia chakula kizuri halafu usile kitanuka mbaya. kumbuka, miongoni mwa mambo ambayo yanawakera wanawake ni mwanaume kutokula chakula nyumbani.



4.Kutoa msaada sio kwa vituo vya watoto yatima tu, bali hata kwa ndug zako, kitu chochote iwe ni nguo au chakula ni au vitu vingine ni vyema kumjulisha mwenzi wako kuliko kufanya mambo kimya kimya. Mwenzako atakapojua anaweza kulalamika au akakaa kimya lakini usije ukadhani ni mjinga kuna siku atalipiza kitu ambacho hutafurahiya. 



5.Kuwaeleza mashoga zako kuhusu mipango yenu. Katu usije ukawaambia mashoga zako kwamba mna mpango wa kununua nyumba au kununua gari. Ni vyema mipango yenu ikawa ni siri yenu kwani ikitokea mipango hiyo ikakwama utaishia kuzodolewa na mashoga zako. kumbuka kwamba si kila shoga anapenda maendeleo ya mwingine



6.Ghafla unabadili mtindo wa nywele bila kumshauri mwenza wako. Unaweza kuibua kisirani cha bure katika ushusiano wenu.



7.Kutupa vitu ambavyo unaviona kama uchafu ndani ya nyumba wakti mwenzako alikuwa bado anavihitaji kwa matumizi mengine. Kuna baadhi ya wanawake wanapoamua kusafisha nyumba hutaka kutupa kila kitu anachoona kama ni uchafu bila kumshirikisha mwenzi wake. Ni kosa kubwa, ni vyema kushauriana wakati wa kusafisha nyumba ili kujua ni kitu gani cha kutupa na kitu gani cha kuhifadhi.



8.Kuacha vitu kwa mwenzi wako bila taarifa. Kama mko na mahusiano lakini kila mmoja anaishi kwake, pale unapokwenda kupitisha usiku kwa mwenzako ni vyema ukamuuliza kama unataka kuacha baadhi ya vitu vyako hapo kwake kuliko kukurupuka na kuhamishia wardrobe nyumbani kwa mwenzi wako bila taarifa. Utaonekana kama unalazimisha jambo fulani.



9.Kuombaomba. Kuna baadhi ya wanawake au hata wanaume wanapenda kuombaomba misaada kwa wenzi wao. Kuna wengine wako smart wao hutumia neno, "Niazime" lakini si kwamba wanaazima bali wanaomba na hawawezi kurudisha, ni vyema kuwa wastaarabu na kuweka mipaka, hata kama mtu anataka msaada aonyeshe juhudi zake kwanza ndipo labda uombe msaada na sio kila siku anaomba tu mpaka mtu anakuchoka......