Wednesday, 11 February 2015

UMUHIMU WA KUFIKISHANA KILELENI KWA WAPENZI.

Ndoa yoyote ambayo mke au mume hafiki kilele cha mlima kilimanjaro..hiyo siyo ndoa inayokwenda sawa na kuna madhara makubwa kwa pande zote,kwa maana ya mwingine kuweza kuamua kutoka.Ni vizuri walio kwenye ndoa kujifunza namna ya kupeana raha iwapasayo wanandoa kuipata.Kama unafikiri mkeo unaye kwa sababu amekuja kutafuta kula au kununuliwa magari na nguo,hilo ni kosa.Tafakari maana ya kupeana raha kwa kila kona.

Kama ni kula,kila mtu anaweza kujitafutia kwa njia mbalimbali kama ni kuuza mama ntilie na kadhalika.Mwanamke yuko kwa mume kwa sababu anahitaji kupata vitu ambavyo wanawake huvipata kutoka kwa wanaume; Mume ndiyo kichwa,iongoze ndoa yako vizuri kwa hekima...

Kwa asili,inatakiwa mke na mume kufanikisha zoezi hilo la kuwezeshana kufika kileleni na ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana siyo tu mwili unaondoa uchafu ndani ya mwili,pia inasaidia kuupoza mwili kuwa sawasawa.

Hivyo ili kulinda ndoa yenu au mahusiano yenu ni jambo la muhimu kuhakikisha kila mmoja anamfikisha mwenzie kwenye kilele cha mlima kilimanjaro,tusijidanganye kuwa limbwata la mganga ndiyo njia ya kudumisha penzi la hasha..Limbwata la kuhakikisha umemfikisha mwenzi wako kileleni ndio mwisho wa matatizo..

No comments:

Post a Comment