NDOA NA MAHUSIANO

Let's talk about love

Thursday, 24 November 2016

USAFI NI MUHIMU.

›
Jambo moja ambalo kila siku hulalamikiwa na wanawake kuhusu waume zao ni suala la mwanaume kuwa mchafu, kuingia kitandani huku ananuka kama...
Monday, 21 November 2016

UKAGUZI WA NAMNA.HII KTK NDOA.

›
Uwezo wa kumwamini na kujisikia salama na kutulia kati ya wanandoa ni moja ya misingi ya kila mmoja kutoa upendo kwa mwenzake. Bila msingi ...
Sunday, 20 November 2016

JINSI YA KUFANYA ILI KUMVUTIA MWANAUME MNAPOKUTANA KWA MARA YA KWANZA.

›
Ukweli kila mwanamke hutuma signal kwa mwanaume na wanaume wengi huweza kufanya detection ya hizo signal kwa sekunde tu na signal za kwanza ...
Thursday, 10 November 2016

TALAKA UHUMIZA

›
Talaka huumiza kuliko kifo, hata hivyo kwa baadhi ya wanawake walioolewa sasa wanaona talaka ni uhuru na maisha. Hujiona wao young and bea...
Sunday, 6 November 2016

NI MAKOSA KUMPA MCHUMBA HUDUMA ZA MKE/MUME

›
Kawaida huwezi kumpa kila mwanaume huduma za mume wakati bado ni mchumba tu. Vijana wengi leo wanapochumbiana au kutafuta urafiki wa kawai...
Saturday, 5 November 2016

MAMBO HUBADILIKA MKISHAOANA NA KUANZA KUISHI PAMOJA.

›
Watu wawili wanaopendana na kuishi kila mmoja kivyake ni tofauti sana na watu wanaopendana na kuishi nyumba moja. Wapo ambao hujiuliza ina...
Friday, 4 November 2016

KUACHANA SI SULUHISHO.

›
Wewe ambaye umeoa au kuolewa na upo unafikiria kuachana na mwenzi wako. Fikiria upya uamuzi wako. Fikiria hao watoto mlionao, Fikiria ny...
›
Home
View web version
Powered by Blogger.