Friday, 26 February 2016

WANANDOA WALIO IMARA.

Wanandoa imara au waliofanikiwa katika ndoa yao ni wale ambao wanaweza kukaa pamoja na kujadili tofauti zao katika namna ambayo huwezesha kujenga ukaribu kimapenzi zaidi.

Wanafahamu jinsi ya kukubaliana na kutokukubaliana, wanafahamu namna ya kuhakikisha kutokukubaliana hakusababishi maafa kwenye maeneo mengine ya mahusiano yao.
Si kweli kwamba tunaolewa au kuoa ili kuchukuliana katika migogoro hata hivyo kutofahamu namna ya kupambana na migogoro huweza kusababisha kutofanya vizuri katika mambo mengine ambayo ndo sababu za kuoana.

Kukwepa migogoro au kukwepa kuongea pamoja eti kunaweza sababisha mgogoro mzito si hekima wala busara kwani njia bora ni kuwa wazi kuongea pamoja ili kujadili tofauti au kutokuelewana kunakojitokeza ili wanandoa waweze kufahamiana zaidi.

Kwa lugha nyingine si rahisi mke kufahamu mume anapenda chakula gani bila kuongea kwanza, pia haina maana kukaa kimya kwa kuwa mke anapika chakula usichopenda basi atabadilisha na kukupikia chakula unapenda. Si rahisi mume kukupeleka outing kama hamuongei.

Wapo wanandoa ili kuepuka migogoro huacha kuongea na kuwa kimya, ni muhimu sana wanandoa kufahamu utafiti wa ndoa imara unasemaje.
Kila ndoa imara kwa wastani ina maeneo 10 ambayo wanandoa hawafanani au hawawezi kukubaliana au kwa lugha nyingine hawataweza kufikia muafaka maishani mwao.

Kwa nini hizi ndoa imara pamoja na tofauti 10 na bado zinaitwa ndoa imara?

Jambo la msingi au siri kubwa ni kwamba wanandoa wanafahamu namna ya kukabiliana na hizo tofauti na kuishi nazo, kupendana pamoja na kutofautiana na zaidi kila mmoja anamuelewa mwenzake na kukubaliana kihisia na kuchukua nafasi yake kama ni yeye.

Wanandoa imara hufurahia na kusherehekea tofauti zao na hufarijika kwa kuwa sasa anamfahamu mwenzake, anajua eneo ambalo wapo tofauti then wanaaendelea kupendana huku kila mmoja akifahamu namna ya kukabiliana na hizo tofauti.

Hawa wanandoa imara wanafahamu wazi kabisa kwamba hata kama watabadilisha partners bado watapata matatizo mapya katika maeneo ya kutokukubaliana, kuwa tofauti na kwa huzuni kubwa kazi kubwa itakuwa ni mizigo waliyotoka nayo kwenye ndoa zao za kwanza kama vile watoto nk ndiyo maana kwao talaka haina sauti wala nguvu na huwa haizungumzwi, ni neno lililofutwa katika maongezi.
Zaidi ya kukabiliana na tofauti na kutokukubaliana pia ni muhimu sana kusherehekea/kumbatia mabadiliko.
Wakati tunaoana huwa tunaahidi kukaa pamoja hadi kifo kitakapo tutenganisha hata hivyo huwa hatuahidi kubaki vilevile bila mabadiliko yoyote, tunahitaji kukua, kuongezeka skills, kwa wabunifu na wazuri zaidi kila siku zinavyozidi kwenda.
Kuna mambo mengi tunaweza kujifunza kadri siku zinavyozidi kwenda kama vile kusema asante, kuomba msamaha.
Hivyo inawezekana kujifunza tabia njema ambazo zinaweza kujenga ndoa na kuziacha tabia mbaya ambazo zinaweza kuharibu ndoa.

posted from Bloggeroid

Thursday, 25 February 2016

SIRI ZA KUWA MWANANDOA MZURI.

Ili kuwa mwanandoa mzuri kimapenzi unahitaji kufahamu kwanza tofauti zilizopo kati ya mwanamke na mwanaume.
Kile wewe unapenda kufanyiwa ukiwa chumbani na mwanandoa mwenzako wakati mwingine ni tofauti sana na yeye anapenda wewe umfanyie.
Wanaume siku zote tupo tayari kwa sex any time anywhere, ni kama wote ni ma-genius kwenye eneo la sex.
Bahati mbaya ni kwamba wanaume wengi akishaambiwa sasa ni wakati wa faragha; moja kwa moja full speed kwenye genitals za mke wake na baada ya dakika moja akishapima maji na kuona kuna umande haijalishi ni kiasi gani anaingia bila hata maandalizi ya kutosha eti kwa kuwa yeye umeme umeshawaka.

Je, kwa nini maandalizi ya tendo la ndoa (foreplay) ni muhimu sana kwa mwanamke?

Kuna logic ya kisayansi kwa nini mwanamke huchukua muda mrefu sana ili kusisimka kimapenzi ukilinganisha na mwenzake mwanaume.
Mwanaume ambaye akisisimka uume wake ambao ni kama tube yenye wastani wa inches 6 tu huweza kusimama (dinda) baada ya damu kujaa. Kwa mwanaume rijari au mwenye afya njema kawaida huchukua dakika 2 tu tangu amesisimka na kuweza kufika kileleni.
Kwa upande wa mwanamke eneo ambalo huhitaji kujaa damu ili asisimke ni kubwa zaidi kwani huchukua muda mrefu damu kujaa katika genitals (lower pelvic area) na matiti au tuseme mwili mzima wa mwanamke ni one single sex organ hivyo huhitaji muda mrefu zaidi ili kusisimka.
Kama mwanamke ana mood nzuri ya sex au tuseme ubongo upo wired vizuri kwa sex basi humchukua kati ya dakika 10 hadi 15 kusisimka na kuwa tayari kwa sex.
Cha kushangaza ni kwamba tafiti nyingi zinaonesha kwamba wanandoa wengi huchukua dakika kati ya 10 hadi 15 kwa tendo zima la sex.
Hii ina maana mwanamke anapokuwa amesisimka mume huwa anakuwa alishamaliza na anakoroma na matokeo yake mke huachwa akiugulia kwa hamu ya kutaka zaidi na matokeo yake mwanamke hujikuta hajatosheka na hajafikishwa pale anahitaji kufika.

posted from Bloggeroid

UNA NDOTO GANI KUHUSU NDOA YAKO?

Wapo wanandoa ambao ndoa yao ipo kwenye hatari kwa kuwa hawana vision au dreams za ndoa yao au mahusiano yao yaweje au iwe na pattern ya aina gani.
Wanaingia katika ndoa au mahusiano huku wakiwa hawana picha kamili ya ndoa yao itakuwa vipi na wengine hali ni mbaya kwa kuwa mume anatofautiana na mume kwa kila wanalofanya au tenda na kuwaza.
Hii haijalishi wamesoma kiasi gani au hawajasoma kiasi gani, haijalishi wana uwezo kifedha kiasi gani au ni masikini kiasi gani bila maono ya ndoa waliyonayo ni kuangamia.
Bila maono au ndoto ndoa huwa mfano wa wajenzi wawili wa nyumba moja huku kila mmoja akiwa na ramani yake.
Mwingine ana ndoto au maono ya kuhakikisha anakuwa karibu na mwenzake (closeness/intimacy/romance) na akipata hivyo kwake ndo maana ya kuridhika na ndoa, mwingine ndoto zake au maono yake ni kila kitu kifanywe kwa wakati wake bila kukosea na maono au ndoto za kuwa na watoto 12 na akipata hivyo basi kwake ndo kuridhika na ndoa.
Kwa kuwa kila mmoja ana maono ambayo ni yake peke yake basi kutotimizwa kwa hayo humfanya kujiona yupo frustrated na ndoa.

Bila kuwa na maono au ndoto ya ndoa yako, maono ambayo yanakuwa shared na mwenzi wako huweza kupelekea kuanza kuwekeza energy kidogo sana kwenye ndoa yako.

Hapa tunazungumzia maono ambayo ni correct kwani kuwa na maono ambayo si correct ni sawa na kutokuwa na maono kwani huwa kama vipofu na kipofu akimuongoza kipofu mwenzake wote huishia kwenye shimo na kupotea


Mithali 29:18
Mahali pasipo na maono, watu huangamia, bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.

posted from Bloggeroid

HUWA HATUYAFANYII KAZI.

Kama unavyosikia kwamba siku za leo ndoa nyingi huishia katika talaka huku zikiacha uchungu kwa wanandoa wenyewe na watoto ambao wanakuwa confused na jambo lililotokea kwa wazazi wao. Usikubali hili litokee kwako haijalishi ndoa yako ipo katika wakati mgumu kiasi gani au ipo katika afya njema kiasi gani au kwanza ndo unafikiria suala la kuoa au kuolewa.

Huwezi kuwa Engineer au Doctor au successful business man/woman over night, lazima uwekeze muda na juhudi ya kutosha ili ufike hapo hata ndoa ni hivyo hivyo kwamba ni kazi huwezi ukakaa na kuishi kizembezembe ukawa na ndoa nzuri.
Jambo la msingi ni kufuata tips ambazo kila siku tunakumbushana ili kufanyaia kazi katika ndoa yako hebu leo tuangalia suala la mawasiliano.

Tafiti nyingi zinaonesha kwamba wanandoa wengi katika nchi zilizoendelea kama Marekani na Canada huweza kuwa na mawasiliano (kuongea pamoja) ya wastani wa dakika 17 kila week.
Kama kwa wiki mke na mume wanaongea kwa dakika 17 tu je ni zinatosha kuweza kuelezea au wasilisha matatizo unayokutana nayo? Hamu, hofu au vitu vinavyofukuta ndani ya moyo wako kuhusu mume wako au mke wako kama vile masuala ya sex? Bila kuwasiliana kinachofuata ni frustration kujaa ndani yako na huweza kuathiri ndoa.
Je, kuongea kwa dakika 17 tu unaweza kuwasiliana topic ngumu ambayo inatakiwa kuongelewa openly na kwa muda wa kutosha?
Kutokana na kuhangaika na maisha mke na mume huishia kuwa kama polisi wa barabarani anayeongoza magari ndani ya nyumba zao.
Wengi hukiri na kuongea kwamba wanataka kuwa na muda na wake zao au waume zao hata hivyo hujikuta muda wao mwingi wanatumia kufanya mambo mengine na si kuongea na waume zao au wake zao.

“Hii ni kumaanisha kwamba kufahamu jambo siyo kulitenda”

Kufahamu kwamba unahitaji muda wa kuongea na mke wako au mume wako ni vitu tofauti na kutenda jambo la msingi ni kutenda siyo kuongea na kuahidi tu.
Kama kuongea na mume wako au mke wako ni number one priority basi inabidi uweke kwenye kitabu chako au ratiba yako suala la kuongea na mume wako au mke wako liwe namba moja na utekekeze.

Huo ni ukweli na unauma kama kupigwa msumari kichwani.
Tunasema mdomoni linapokuja suala la ndoa na vitu vingine, ndoa ni namba moja na tunaishia kutumia muda wetu kufanya mambo mengine.
Kuipa ndoa kipau mbele au kuyapa mahusiano yako na yule umpendae first priority ndiyo siri kubwa ya kurudisha maongezi mazuri na muhimu yanayokosekana mkiwa pamoja.

posted from Bloggeroid

Tuesday, 23 February 2016

UKIWEZA KUMPA RAHA HIZI MKEO,UTAKUWA NA NDOA YENYE AMANI SANA.

Wanawake wengi japo siyo wote, husisimka na hupandwa na wazimu wa kimahaba wakichezewa chuchu zao na visimi.(kinembe)

Chuchu za mwanamke mara nyingi husisimka ikiwa zitatomaswa vizuri na kwa upendo, kwa kutumia mikono,lips za mdomo na ulimi kupekecha pekecha ncha za chuchu na kuzimung'unya kwa mfano wa mtu anayemung'unya pipi hivi,Na mwanamke akianza kusisimka ncha za chuchu huwa zinasimama (dinda) na kuwa ngumu na kufanya matiti yawe kama yamesimama,Hali hiyo ya matiti kusimama na kuchomoza hujitokeza pia kwenye uke.

Ambapo mashavu ya uke hupanuka na kutengeneza msisimko wa ajabu huku kisimi kikisimama na kumwaga ute laini ambao kazi yake ni kuutelezesha uume wakati unaingia.

Jinsi mume anavyokutomasa mpaka unatoa huo ute niliousema,ukitokwa na huo ute mwanamke unakua katika hali mbaya sana,unakuwa katikati ya kifo na uhai kiasi kwamba hata mwanaume akiingiza tu kidole kisha kikatelezeshwa na huo ute utasikia raha sana ingawa kukojoa itakuwa bado.

Sasa mtu wa aina hii ili ukojozwe,Kwanza lazima mume ajue G-spot yako ilipo kisha aichezee kwa kuimassage kwa vidole vyake viwili na muda huo huo awe anachezea kisimi chako kwa kukitekenya awe kama anaichora namba nane kwa ulimi kukizunguka kisimi kwa kuichora namba nane mara kadhaa.. ingawa kwa wenye kinyaa.hawawezi hasa mwanamke kama ana tabia za uchafu.


G spot ipo kama sentimita tano hivi ndani ya uke ipo sehemu ya juu ya kuta za uke.

 Usione aibu kama mzee haijui muelekeze G spot ilipo,mwambie aitekenye hivi"mwambie akuingize taratibu na kwa upendo kidole au vidole vyake viwili ndani ya uke,kisha awe kama anaibomyeza na kuisugua sehemu ya ndani ya uke,hiyo niliyoisema ambayo iko sentimita tano ndani ya uke kwa juu Sehemu ambayo ukiigusa utahisi kama sponji hivi, hapa sasa vile vidole au kidole huko ndani anakuwa anavitumia kuibonyeza kwa style ya kuitekenya G spot, Anakuwa anafanya kama vile anamuita mtu kwa ishara ya mkono.

 Kitendo hiki kitakuwa kikimtekenya mwanamke mpaka anajisikia kama mkojo unataka kutoka lakini hautoki hapa ndipo wengine huchukua uume uliosimama vizuri na kuanza kukipiga piga kisimi na kukisugua kwa kichwa cha uume,hali hiyo akiifanya vizuri itakufanya wewe mwanamke sio tu kukojoa kawaida bali pia umwage maji mengi.Kama hii ya kukipigapiga kisimi na kusugua itakuwa ngumu basi mwanaume unaweza kuwa unakichovya kichwa cha uume kwenye kuta za uke huku ukikitumbukiza mpaka usawa wa kichwa tu na kuuchomoa hapo akifanya mara mbili,tatu mchezo huo mke atakojoa kwa fujo sana na kukamua mpaka tone la mwisho.

Mapenzi ni sanaa na ni muhimu kujifunza kila wakati ili kuifanya ndoa yako iwe na kitu kipya kila siku.

Niwatakie siku njema.


posted from Bloggeroid

Thursday, 18 February 2016

KUDANGANYA KUFIKA KILELENI.

Kila mmoja naamini amesikia tetesi au fununu kwamba wanawake huwa wanadanganya kwamba wamefika kileleni.
Ni kweli hili jambo lipo; wanawake wengi wameshawahi kuwadanganya wanaume zao zaidi ya mara moja na wengine ni kamchezo kao ka mara kwa mara, hata wewe unayesoma hapa inawezekana usiku ulimdanganya kwamba umefika kileleni kumbe usanii mtupu.
Swali la kujiuliza hivi kwa nini wanachukua uamuzi wa kudanganya kwamba wamefika kileleni wakati si kweli?
Lazima kutakuwa na sababu za msingi kwani wanawake ni viumbe wanaojua kupenda kuliko wanaume na kama kuna sababu za msingi hii ina maana hawastahili kulaumiwa.

Katika dodosa dodosa akina dada wengi na akina mama wengi sababu kubwa zinazopelekea wawadanganye wanaume zao kwamba muziki umejibu kwanza ni kitendo cha kutopenda waume zao wajisikie kuwa discouraged kwani wakati mwingine wao wanawake huwa wanakuwa wamechoka na wanapenda love making sessions iishe na njia sahihi ni kuonesha kwamba wamefika kileleni.
Kama wewe ni mwanaume upo kwenye ndoa fikiria umejitahidi kufanya kila unaloweza kumfanya mke wako ajisikia kupenda sex? (umemsaidia kazi, na umefanya kila unaloweza ili ajisikia unampenda) ile mnaenda kitandani mke wako anakwambia:
“Mimi nimejichokea hivyo fanya tu, ukimaliza niambie”
Utajisikiaje?
Kuna tofauti gani kati ya ku-romance jiwe na mwanamke ambaye anakukabidhi sex organ na yeye analala usingizi?
Si afadhari akudanganye kwamba yupo na wewe na amefika kileleni haraka kumbe ni fake?
Naamini umepata jibu!

Pia wapo wanawake ambao wanakiri kwamba waume zao huwa hawaridhiki kimapenzi hadi mke afike kileleni, hivyo faking ni njia sahihi ya kumfanya mume aridhike na mwanamke asichoke.
Sababu nyingine ni kwamba mwanamke anapomuhitaji mume wake kwa sex si mara zote anahitaji kufika kileleni, wakati mwingine mke huhitaji ukaribu wa kimapenzi, hata hivyo wanawake wengi huamini kwamba kuwa na mtazamo kama huo inaweza kumfanya mwanaume asijisikie vizuri na njia sahihi ya kumfanya mwanaume wa aina hii afurahi ni kumdanganya kwamba amefika kileleni.
Pia wapo wanawake ambao si kawaida yao kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa inawezekana ni skills kidogo kutoka kwa waume zao au namna walivyo.
Wanawake hawa hupenda sana waume zao wajisikie wanaweza na wanawaridhisha na hakuna njia nyingine zaidi ya faking.
Kama mwanaume atakuwa na focus kubwa kwa ajili ya kumfanya mwanamke afike kileleni badala ya kumpa raha ya mapenzi, basi uwezekano wa mwanamke kudanganya huongezeka.
Mwanamke hujiona amempa mume disappointment kubwa mno kama hajafika kileleni kwani anaona juhudi ya mume wake, hivyo faking is the true name of the game.
Kudanganya kwamba amefika kileleni huweza kuwa sanaa nzuri sana kwa mwanamke smart ambaye anafahamu namna ya kucheza aina hii ya maigizo.
Atambana mwanaume wa watu, atatoa miguno ya kimahaba, atapumua kwa ndani, atabadilisha sura na uso, atajivuruga kwenye pillow kisanii na kijiografia hadi mwanaume aingie mjini.
Wanawake wataendelea kudanganya tu kwamba wanafika kileleni na wanaume hawawezi kufanya chochote zaidi kwa kuendelea kufurahia tu.
Kama ukigundua kwamba mke wako anakudanganya kwamba amefika kileleni jambo la msingi si kulaumiana bali kuzungumza au kujadiliana na kufahamu sababu zinazofanya mfungane kamba kiasi hicho na kama inawezekana nini kifanyike ili kuwa na kitu halisi.
Mapenzi ni sanaa na kwenye sanaa kuna actors.

posted from Bloggeroid

Tuesday, 16 February 2016

KUMWANDAA MWANAMKE KUWA MWILI MMOJA 2.

Je, ni makosa gani ambayo wanaume hufanya katika kumuandaa mwanamke?

1. KUWA NA HARAKA.
Wanaume wengi huwa na haraka ya tendo la ndoa bila kuzingatia umuhimu wa kumuandaa muhusika kwanza.
Wanawake hutumia muda mrefu ili kusisimka ndiyo maana unahitaji kutumia muda bila kuwa na haraka ili uweze kumsisimua na zaidi kuwa na sex nzuri na yenye kuridhishana.
Ni vizuri kutumia muda wa kutosha kumuaandaa na kama unaweza hata kumfikisha kileleni hata kabla ya kumwingilia.

2.KUKOSA KUJUA SEHEMU MUHIMU ZA KUCHEZEA.
Zaidi ya matiti, shingo na midomo (lips) na kisimi wanaume wengi hawajui ni sehemu zingine zipi ambazo wanawake huwasisimua zaidi.
Kuna sehemu zingine ambazo mwanamke akiguswa anaweza kusisimka haraka zaidi.
Tumbo, matako, mapaja, nyuma ya shingo, mabega, mgongo, sehemu iliyopo kati ya uke na nyuma

Hizi sehemu ni muhimu sana kwake kuguswa wakati wa kumuandaa.
Pia lazima uwe mtundu kuweza kusoma lugha yake na jinsi nini anakifurahia na nini hafurahii wakati wa maandalizi.

3. KUWA BUBU BILA KUONGEA MANENO MATAMU YA KUMSIFIA.
Wakati wa tendo zima la kufanya mapenzi wanawake wanategema mwanaume awe anaongea si kuwa bubu na kuongea huanzia kwenye maandalizi na kama wewe ni fundi wa kuongea basi hutachukua muda mrefu kuhakikisha moto umewaka.
Kuna maneno matamu, kwenye mapenzi maneno matamu yapo ya aina mbili, kwanza ni dirty words (mfano uke kwa jina jingine unaitaje vile au uume kwa jina jingine unaitaje vile) na pili maneno ya kumsifia juhudi yake au alivyo na umbo zuri. Dirty words husaidia kumsisimua na kumpa nyege zaidi na maneno ya sifa husababisha atoe juice zaidi.

4.KUBUSU KWA KINYAA AU BILA USTAARABU.
Wakati unambusu usiache mimate kila mahali uwe mstaarabu pia usioneshe kwamba una kinyaa katika kubusu baadhi ya sehemu ambazo yeye anapenda umbusu, huyo ni mke wako na yeye wewe ni mwili mmoja, yeye ni wewe na wewe ni yeye, hivyo unaruhusiwa kubusu sehemu yoyote ndiyo maana usafi ni jambo la kwanza kabisa katika mapenzi.

posted from Bloggeroid